Uchaguzi 2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

usitutishe bwana
 
Nilikuwa sina mpango wa kumpigia kura Tundu Lissu kwasabau JPM amefanya mengi yanaonekana. sasa ndio nitampigia Lissu once and for all
mwenyezi mungu akuongoze na ubaki salama kura yako ndio ushindi wa lissu
 
Nyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
Nini ambacho Lissu hajawahi kukumbana nacho ?! . Utamtishia kumweka ndani, au kumfungulia kesi, au kumpiga mabomu na kummiminia risasi ?!.

Hakuna ambacho mtamtishia Lissu labda Pepo mbinguni.
 
Unajua siku zote mtu muovu lazima anakosea kwenye kufanya mambo yake haya ndio madhara ya kutumwa kufanya dhuluma kwa mtu ambaye hajafanya kosa lolote
Yaani badala ya umuandikia barua Lissu mwenyewe wanamuandikia Mwenyekiti wa Chama?
Kwani Chama ndo kilitoa matamshi?

Hiyo barua haina nguvu zozote za kiwito

Jeshi la Polisi lifuate sheria za namna ya kutoa wito, hata lenyewe haliko juu ya sheria!
 
Siro huwezi kushindana na nguvu ya umma,lisu tunampenda
 
Wito wa mtandaoni... Kwanini kampigia mbowe asimpigie lissu direct? Angempigia lissu Hoja zake Hawezi pungua... Uzuri WA lissu humpeleki kwa mihemko atakuburuza kwa sheria... Akapate feedback kwa mkurugenzi wa uchaguzi...
 
Sasa hata kwa macho tu huoni?
View attachment 1587390

Utafiti huu ulimalizika mwezi Julai 2020 na ripoti kutolewa sasa yaani miezi miwili baadaye 01 Oktoba 2020.

Siasa mwezi mmoja ni kama siku moja. Tundu Lissu akafika toka Ubelgiji baadaye .
Kampeni zimeanza rasmi Agosti 28 2020.

Tundu Lissu arejea nchini 27/8/2020

Tundu Lissu ndani ya wiki 21 za kampeni kapindua meza. Utafiti uliokamilika Julai 2020 umepitwa na wakati na haukisi hali halisi ya kisiasa na kujiamini kwa wapiga kura wa pande zote mbili.

Tundu Lissu akirejesha fomu 25/8/2020

CCM Mpya wamekata tamaa wakati upande wa CHADEMA na wale wasio uanachama wa vyama hivi wanajitokeza kuonesha imani yao kubwa kwa Tundu Lissu.

Tundu Lissu ajaza nyomi mikutano ya kampeni

 
Ndivyo ilivyo
 
IGP kaisha sema Lisu hana ubavu wa kupambana na askari,
wamemvumilia weee..wameona sasa huyu jamaa anapoelekea atawatemeea mate....maana ameonyesha dharau za kutosha!!
Wapeleke malalamiko tume
 
Siro ana mikwara mbuzi wakati hata sifa za kuwa IGP hana . Siro humjui vizuri Lissu , subiri uanze kucheza ngoma yake muda si mrefu .
 
..IGP anasema Tundu Lissu anawafokea askari wake.

..Lazima kuna jambo lilitokea lililosababisha Tundu Lissu awafokee askari.
 
Hivi nauliza igp ameshajua nan rais kama sio anapata wapi nguvu ya kumtisha mgombea kutoka chama kikubwa cha upinzani
Atafanyaje myfriend si unajua mambo ya polisi hata uwe mkubwa kiasi gani unatumwa tu. Na una jibu moja tu" naam mkuu'
 
Busara inayotumika upande wa pili , pia itumike upande wao. Hizo ni dalili za kukosekana haki katika kutekeleza wajibu wenu. Kama Jambo linakatazwa na Sheria na mpokusimamia sheria. Utekelezaji ufanywe kwa usawa . Na sii kuabgalia upande mnaoona ni wanyonge.
 
Sirro mwepesi sana, aliulizwa na Farhia Middle kuhusu Lissu kwenye dk 45 ITV akaishia kujikanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…