Mimi nimetazama kwa kwa jicho la tatu haya yanayofanyika.
1. Kamanda IGP anajua taratibu za kisheria kwa cheo chake na kama hajui yeye basi wasaidizi wake wanajua na wengeweza kumshauri kabla hajaenda kwenye media kusema sasa alichokifanya yeye ni ili kumridhisha mkuru ili aone amesema jambo wakati kisheria anajua kwamba TAL hawezi kutii na itaishia hapo.
2. Kuhusu barua , kwanza uandishi wake, pili kukosea kwake sio kwa bahati mbaya bali ni mpango mkakati ili jamaa aelewe tu kwamba barua ya hovyo na hawana kusudi la yeye kufika kituoni na mchezo umeishia hapo.
3. Tume ya uchaguzi, pasi na shaka wanajua historia ya TAL na namna alivyo mbobezi wa sheria zaidi nadhani kuna msukumo toka juu na kwahiyo wao wanaharibu maksudi ili kuby time . Jiulize unadhani tume hawajui sheria na mtu wanae deal nae?
Mwisho
Naona kila eneo wamemchoka mkulu wanataka kuwa huru na usije shangaa hali ikibadilika huko mbeleni.