Baada ya uchaguzi tunataka tuwaonyeshe mabeberu yenu kuwa msaliti Lissu hatumpendi kama wanataka wampeleke akagombee kwao.
Hivi nauliza igp ameshajua nan rais kama sio anapata wapi nguvu ya kumtisha mgombea kutoka chama kikubwa cha upinzani
Kabisa mkuu inaonekana wanapata pressure kubwaMimi nimetazama kwa kwa jicho la tatu haya yanayofanyika.
1. Kamanda IGP anajua taratibu za kisheria kwa cheo chake na kama hajui yeye basi wasaidizi wake wanajua na wengeweza kumshauri kabla hajaenda kwenye media kusema sasa alichokifanya yeye ni ili kumridhisha mkuru ili aone amesema jambo wakati kisheria anajua kwamba TAL hawezi kutii na itaishia hapo.
2. Kuhusu barua , kwanza uandishi wake, pili kukosea kwake sio kwa bahati mbaya bali ni mpango mkakati ili jamaa aelewe tu kwamba barua ya hovyo na hawana kusudi la yeye kufika kituoni na mchezo umeishia hapo.
3. Tume ya uchaguzi, pasi na shaka wanajua historia ya TAL na namna alivyo mbobezi wa sheria zaidi nadhani kuna msukumo toka juu na kwahiyo wao wanaharibu maksudi ili kuby time . Jiulize unadhani tume hawajui sheria na mtu wanae deal nae?
Mwisho
Naona kila eneo wamemchoka mkulu wanataka kuwa huru na usije shangaa hali ikibadilika huko mbeleni.
Wewe hujui kuwa hata akina Charles Taylor na Laurent Gbagbo nao walikuwa marais lakini leo wako wapi.Nyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
We Siro weweeee...thubutu...
Kura yako ni moja tuu.
Mkuu mbona unashangalia sana kama vile wewe utakuwa salama!, hilo unalosema kinukisheni hata wewe hautokuwa salama hata kidogo.Safi sana, fungia kufanya kampeni kabisa, kinukisheni sasa tuone.
Nilikuwa sina mpango wa kumpigia kura Tundu Lissu kwasabau JPM amefanya mengi yanaonekana. sasa ndio nitampigia Lissu once and for all
Ukandamizaji....Sababu?
Shika kamata huyo kibaraka, weka kolokoloni huyu kibaraka wa wazungu. Tena inabidi kumkomesha kabisa ajue this is Tanzania buana! Ningekuwa IGP, nisingemcheleweshaNinyi wenyewe hamjitambui mnachokifanya mmeona moshi hawezi kwenda sasa hivi mnasema aende dar ona mlivyo mazuzuView attachment 1587466
Baba yako na mama yako ndiyo watakaonyea ndoo huna adabu! Ni hasara kubwa Sana nchi kuwa na ji2 kama wewe hilo bao lingeviringishwa kwenye nailoni likatupwa huko majalalani nyumbani Kwa yule prof wala tusingekuwa na hii hasaraNyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
Mtanyooka tu tarehe 28/10/2020 siyo mbali. Mtatukana sana mama na baba zenu lakini dawa itawaingia tu.Baba yako na mama yako ndiyo watakaonyea ndoo huna adabu! Ni hasara kubwa Sana nchi kuwa na ji2 kama wewe hilo bao lingeviringishwa kwenye nailoni likatupwa huko majalalani nyumbani Kwa yule prof wala tusingekuwa na hii hasara