BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Tanzania tunapaswa kushukuru kwa kumpata IGP. Simon Sirro kwa kuweka kila kitu under control kuanzia zile siku za sintofahamu mpaka sasa tunafungua mwaka 2022 anastahili pongezi na kuombewa maisha marefu na kila Mtanzania mwenye nia njema hasa linapokuja suala la ulinzi na usalama nchini.
Usiku wa jana ulikuwa ni mwendo wa kupishana na Defender na utulivu wa hali ya juu hakuna cha baruti wala kuchoma matairi trust me kama pamengekuwa na takwimu basi jana Tanzania ingekuwa nchi ya kwanza kupokea mwaka katika hali ya utulivu na usalama nani mwingine kama sio IGP. Simon Sirro Kufanya hili liwezekane.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ishi maisha marefu IGP endelea kuongeza dozi.
From northern part of Tanzania