Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wakitoa ajira huku uwezo wa kulipa ni mdogo kitakachofuata ni kua na wahalifu ambao wanalindwa na system wengi mno.Watoe ajira hizo mm siwez kuacha kulala nikafanye kaz ya ulnz shirikish ambayo haina posho
Sawa Kamanda na tungependa kujua kwa Tanzania askari mmoja anawambambikizia kesi raia wangapi kwa wastani?"Askari mmoja analinda watu 2,000 jambo ambalo haliwezekani, kimataifa askari mmoja anapaswa kulinda watu 450, ili kutatua hilo ni vema tukawa na ulinzi shirikishi na asiyetaka kulinda alipishwe faini kama Dar es salaam wanavyo fanya"IGP Siro
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Siro Juni 30.2021amefanya mkutano wa tathimini ya pamoja na viongozi wa ngazi ya kata wakiwemo, Wenyeviti wa vijiji, Mtaa, Madiwani, Watedaji wa kata na vijiji Mkoani Kilimanjaro kuhusu hali ya usalama na umuhimu wa viongozi hao kwenye jamii
Shida huku mtaani kuna wakati tynaona bora tujilinde wenyewe maana askari ni kama tatizo jipya.Jambo la msingi ni ku Pressurize serikali iajiri maaskari. Kuna vijana wengi sana waliomaliza mafunzo ya JKT wako mtaani.
Uchumi wa Kati tuzungumzie TEKNOLOJIA sio Askari tena"Askari mmoja analinda watu 2,000 jambo ambalo haliwezekani, kimataifa askari mmoja anapaswa kulinda watu 450, ili kutatua hilo ni vema tukawa na ulinzi shirikishi na asiyetaka kulinda alipishwe faini kama Dar es salaam wanavyo fanya"IGP Siro
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Siro Juni 30.2021amefanya mkutano wa tathimini ya pamoja na viongozi wa ngazi ya kata wakiwemo, Wenyeviti wa vijiji, Mtaa, Madiwani, Watedaji wa kata na vijiji Mkoani Kilimanjaro kuhusu hali ya usalama na umuhimu wa viongozi hao kwenye jamii
"Askari mmoja analinda watu 2,000 jambo ambalo haliwezekani, kimataifa askari mmoja anapaswa kulinda watu 450, ili kutatua hilo ni vema tukawa na ulinzi shirikishi na asiyetaka kulinda alipishwe faini kama Dar es salaam wanavyo fanya"IGP Siro
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Siro Juni 30.2021amefanya mkutano wa tathimini ya pamoja na viongozi wa ngazi ya kata wakiwemo, Wenyeviti wa vijiji, Mtaa, Madiwani, Watedaji wa kata na vijiji Mkoani Kilimanjaro kuhusu hali ya usalama na umuhimu wa viongozi hao kwenye jamii
Mtaani kwenu wapi mkuu?Shida huku mtaani kuna wakati tynaona bora tujilinde wenyewe maana askari ni kama tatizo jipya.