IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

Ni kwanini asiwakamate kisha atangazie kuwa tumemkamata Fulani bin Fulani kwa kosa la kuchochea fujo Loliondo?

Haya majungu anatuletea ya nini sisi?
 
tekeleza nilichokushauri kisha rudi stupe mrejesho
Nimeshayafanya sana haya, kama ulikua bado mbimbi wakati uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995, uchaguzi ambao sisi vijana kipindi hicho tulisimama na kunyosha vidole juu ,tulia hatuwezi kuwa na debate na wewe,kwangu wewe ni zuzu ambaye hadi leo unafikiri na kuona vitisho ndio njia ya kuwatisha watu, kweli 🦎 ni tofauti kabisa na crocodiles 🐊
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu ya middle class (ana uwezo wa kuleta mkate tu mezani)na uzuzu wako ndio unaturudisha nyuma nchi yetu
 
Force applied should be propionate to the situation , any excessive use of force is a criminal offence.
Polisi wa TZ hawajui hilo.. WAO FORCE APPLIED INAKUWA PROPORTIONAL NA KIWANGO CHA HASIRA WALICHONACHO...!!! Si unakumbuka walivyolitawanya tumbo la mwandishi wa habari kule Mafinga? Mtu hana silaha, yupo peke yake... wao wapo kibao na mashine za 'kutawanyia tumbo', lakini wakafanya yao. SI unakumbuka jinsi walivyokatisha risasi kona hadi ikamuuwa Akwilina?
 
Muhubiri 4:4

Kisha nikarudi na kuona madhalimu yote yanayotendeka chini ya jua,

Na tazama, machozi Yao WALIODHULUMIWA,ambao walikuwa hawana mfariji,

Na upande wao wale WALIOWADHULUMU, walikuwa na UWEZO. Amen
 
Huyu aage tu aende likizo ya kustaafu Mara zote amekuwa akificha udhaifu kwa kuwasingizia Wana siasa aende tu bhana asubiri 2025 akagombee udiwani kijijini kwao kupitia chama chao ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…