IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

Sasa kama wanawajua, iweje hawawachukulii hatua za kisheria...fiksi tu hizi
 
Kwenye hii issue ya loliondo inahitajika hekima ya Hali ya juu sana. Vinginevyo tunaweza Kuta tuna palulana palulana tuu.
 
Back
Top Bottom