Hapa IGP ameteleza, siyo kila Tamko ni lazima litamkwe.. Na siyo kila Tamko ni lazima liambatane na vitisho..
Wanashangaza, wanafanya watu wajinga sana kuwa wataamini kila wasemalo. Hivi nani awezaye fanya fujo hizo msibani kweli?Hivi ktk hali ya kawaida nani anaweza kufanya fujo kwenye mazishi tena ya rais mstaafu? Labda awe siyo mtanzania
Wanashangaza, wanafanya watu wajinga sana kuwa wataamini kila wasemalo. Hivi nani awezaye fanya fujo hizo msibani kweli?
Ni sawa na tumsikie paroko au mchungaji anatangaza kanisani "jumapili ijayo waumini waliopanga kunya humu ibadani wata shughulikiwa" halafu watu waamini
Kwani na wewe ni Kati ya hao wahuni?Hapa IGP ameteleza, siyo kila Tamko ni lazima litamkwe.. Na siyo kila Tamko ni lazima liambatane na vitisho..
Kama siyo mtanzania ndiyo ataogopa zaidi. Mimi naamini hakuna binadamu mwenye mawazo ya kufanya fujo msibaniHivi ktk hali ya kawaida nani anaweza kufanya fujo kwenye mazishi tena ya rais mstaafu? Labda awe siyo mtanzania
Mbona uwanja wa uhuru mlitaka kuingia wakati rais ameshaingia? Then mkaanza kudanganya dunia kuwa mmezuiwa wakati makosa ni yenu?Wanashangaza, wanafanya watu wajinga sana kuwa wataamini kila wasemalo. Hivi nani awezaye fanya fujo hizo msibani kweli?
Ni sawa na tumsikie paroko au mchungaji anatangaza kanisani "jumapili ijayo waumini waliopanga kunya humu ibadani wata shughulikiwa" halafu watu waamini
Kama siyo mtanzania ndiyo ataogopa zaidi. Mimi naamini hakuna binadamu mwenye mawazo ya kufanya fujo msibani
Fujo zipi? Zipo wapi? Hata fujo nazo mnawabambikia chadema?Wapigwe tu..fujo wakafanyie familia zao