minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Uhuni mnao nyinyi watetezi wa CCM mnaoshinda gheto kwa cyprian MusibaWahuni wa Cha Domo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuni mnao nyinyi watetezi wa CCM mnaoshinda gheto kwa cyprian MusibaWahuni wa Cha Domo
IGP kachemsha sana katoa mikwara kwa kitu cha kuhisi kitu ambacho hakipo kamwe, ni aina fulani ya uoga usio na TijaSiro mbona anataka kujiondolea heshima? Hivi kuna mwenye timamu anaweza kuvuruga shughuli za msiba?
Kuvuruga shughuli za msiba wanafanyaje? Watazuia asizikwe? Watapiga kelele wakati wa ibada ya kumsindikiza? Wataondoka na mwili wa marehemu? Watawazuia watu wasimzike marehemu? Hata sielewi anayetaka kuvuruga shughuli ya maziko ya mtu kama Rais mstaafu, mtanzania mwenzetu, aliyetutoka ghafla, atafanyaje hasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kachemsha sana pengine hajui chadema mda si mrefu watampeleka The Hague kwa kuendelea kuwaone chadema kwa mda mrefu sanaHuyu IGP ni kimeo hajui mipaka ya usemaji wake...hizi kauli pengine angetoa RPC ningeona nisingeshangaa ila kwa IGP Hapana!
Ha ha ha kumbe ni kauli za kumfurahisha mtukufuIGP lazima atie neno ili boss wake ajue kuna kitu kafanya vinginevyo anafaham hali halisi endapo hatatia neno!
Ndugu yangu fujo sio kwamba ni kupiga watu au kutukana hapana mtu yoyote anapofanya kitu chochote nje ya utaratibu ni fujo hata kutoa kinyesi kingi nje ya utaratibu ni fujo. Kutoa kitisho hiyo ni lugha ya polisi hasa polisi wa TZHivi ktk hali ya kawaida nani anaweza kufanya fujo kwenye mazishi tena ya rais mstaafu? Labda awe siyo mtanzania
Ndugu yangu fujo sio kwamba ni kupiga watu au kutukana hapana mtu yoyote anapofanya kitu chochote nje ya utaratibu ni fujo hata kutoa kinyesi kingi nje ya utaratibu ni fujo. Kutoa kitisho hiyo ni lugha ya polisi hasa polisi wa TZ
IGP AWAONYA WALIOPANGA KUVURUGA SHUGHULI YA MAZISHI YA MZEE MKAPA
“Kama kuna watu wanataka kuiharibu hii shughuli yetu tutawashughulikia,” – Kauli ya IGP Simon Sirro akiwaonya wanaopanga kuvuruga shughuli ya mazishi ya Mzee Mkapa.
Ikiumbukwe mapema ya leo Vikosi vya Ulinzi na Usalama Vilizuia Kundi kubwa la Wahuni waliotaka kuingia uwanjani baada ya Rais Magufuli kuwasili.
Kwahiyo unakubali kuwa katoa vitisho vya bure tu bila kuwa na uhakika?
Mbona unakuwa kama punguani Ndugu..IGP AWAONYA WALIOPANGA KUVURUGA SHUGHULI YA MAZISHI YA MZEE MKAPA
“Kama kuna watu wanataka kuiharibu hii shughuli yetu tutawashughulikia,” – Kauli ya IGP Simon Sirro akiwaonya wanaopanga kuvuruga shughuli ya mazishi ya Mzee Mkapa.
Ikiumbukwe mapema ya leo Vikosi vya Ulinzi na Usalama Vilizuia Kundi kubwa la Wahuni waliotaka kuingia uwanjani baada ya Rais Magufuli kuwasili.
chademaWacheni kutafuta kiki, nani amepanga kufanya fujo kwenye mazishi ya mzee wetu?
Huyu naye akili yake wakati mwingine huwa inahama, watu wataharibu vipi msiba hata kwa akili ya kawaida?IGP AWAONYA WALIOPANGA KUVURUGA SHUGHULI YA MAZISHI YA MZEE MKAPA
“Kama kuna watu wanataka kuiharibu hii shughuli yetu tutawashughulikia,” – Kauli ya IGP Simon Sirro akiwaonya wanaopanga kuvuruga shughuli ya mazishi ya Mzee Mkapa.
Ikiumbukwe mapema ya leo Vikosi vya Ulinzi na Usalama Vilizuia Kundi kubwa la Wahuni waliotaka kuingia uwanjani baada ya Rais Magufuli kuwasili.
Kwani mimi ni IGP SIRO??? 😁😁😁
Waulize hao BAVICHANasikia CHADEMA kupitia BAVICHA Mtwara nzima na Masasi mmepanga Kwenda na Mabango yalioandikwa “Tundu Lissu Rais 2020”
Nasikia CHADEMA kupitia BAVICHA Mtwara nzima na Masasi mmepanga Kwenda na Mabango yalioandikwa “Tundu Lissu Rais 2020”
Ulivaa barakoa? Ulikuwa unakaa umbali wa mita kadhaa toka kwa mtu mwingine?Makamanda pasi na kejeli afahamishwe afande IGP mshikamano na utayari wetu sote kama Watanzania katika kumsindikiza mzee wetu kwa amani.
Kwa hakika baadhi yetu tuliofika mapema zaidi pale uwanjani leo, tuliwawakilisha vilivyo makamanda wengine wote ambao hawakuweza kuipata nafasi ile ya kuingia ndani ya uwanja kwa shughuli ya leo.
Ahakikishiwe afande IGP ushirikiano, mshikamano na hata kuwakilishana kwetu kutakavyokuwa ikibi hadi Lupaso.
Apumzike kwa amani rais wetu mzee Mkapa.
asilimia 80 ya vitendo vya vurugu uanzishwa na polisi na igp wao
Uwe unachunguza kabla ya kusema, sio kila uambiwacho hapo Lumumba unaamini. Ebo!Mbona uwanja wa uhuru mlitaka kuingia wakati rais ameshaingia? Then mkaanza kudanganya dunia kuwa mmezuiwa wakati makosa ni yenu?
Vipi matangazo ya vifo? Vipi imebuma?Uwe unachunguza kabla ya kusema, sio kila uambiwacho hapo Lumumba unaamini. Ebo!