IGP Sirro awaonya wahuni wanaotaka kuvuruga Msiba wa Mzee Mkapa

IGP kachemsha sana katoa mikwara kwa kitu cha kuhisi kitu ambacho hakipo kamwe, ni aina fulani ya uoga usio na Tija
 
Huyu IGP ni kimeo hajui mipaka ya usemaji wake...hizi kauli pengine angetoa RPC ningeona nisingeshangaa ila kwa IGP Hapana!
Kachemsha sana pengine hajui chadema mda si mrefu watampeleka The Hague kwa kuendelea kuwaone chadema kwa mda mrefu sana
 
Hivi ktk hali ya kawaida nani anaweza kufanya fujo kwenye mazishi tena ya rais mstaafu? Labda awe siyo mtanzania
Ndugu yangu fujo sio kwamba ni kupiga watu au kutukana hapana mtu yoyote anapofanya kitu chochote nje ya utaratibu ni fujo hata kutoa kinyesi kingi nje ya utaratibu ni fujo. Kutoa kitisho hiyo ni lugha ya polisi hasa polisi wa TZ
 
Kwahiyo unakubali kuwa katoa vitisho vya bure tu bila kuwa na uhakika?

"Hao ndiyo wenye kukaanga mbuyu na kuwaachia wenye meno watafune."

Apumzike kwa amani Jabali la Muziki.
 
Mbona unakuwa kama punguani Ndugu..
Kwa akili yako ndogo nani anaweza kuleta fujo siku ya mazishi..??
Labda vimada kama alikuwa nao.
 
Huyu naye akili yake wakati mwingine huwa inahama, watu wataharibu vipi msiba hata kwa akili ya kawaida?
 
Huyu naye akili yake wakati mwingine huwa inahama, watu wataharibu vipi msiba hata kwa akili ya kawaida?
Nasikia CHADEMA kupitia BAVICHA Mtwara nzima na Masasi mmepanga Kwenda na Mabango yalioandikwa “Tundu Lissu Rais 2020”
 
Nasikia CHADEMA kupitia BAVICHA Mtwara nzima na Masasi mmepanga Kwenda na Mabango yalioandikwa “Tundu Lissu Rais 2020”

"Hawa ndiyo wenye kukaanga mbuyu na kuwaachia wenye meno watafune."

Shindwa na ulegee.

Pumzika kwa amani Jabali la Muziki.

Pumzika kwa amani mzee Mkapa.
 
Ulivaa barakoa? Ulikuwa unakaa umbali wa mita kadhaa toka kwa mtu mwingine?
 
asilimia 80 ya vitendo vya vurugu uanzishwa na polisi na igp wao
 
asilimia 80 ya vitendo vya vurugu uanzishwa na polisi na igp wao

Mkuu ukilijua hilo nawe ukaangukia kwenye mitego yao inakuwa haisaidii au vipi?

Mbona waungwana wanasema "forewarned is forearmed?"

Tunaweza kujifunza kuishi salama na Corona tukapata tunachotaka. Sembuse hawa?
 
Mbona uwanja wa uhuru mlitaka kuingia wakati rais ameshaingia? Then mkaanza kudanganya dunia kuwa mmezuiwa wakati makosa ni yenu?
Uwe unachunguza kabla ya kusema, sio kila uambiwacho hapo Lumumba unaamini. Ebo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…