IGP Sirro, bado unawahitaji Hawa watu au uhalifu wao umekoma?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Je, IGP bado anamtafuta Kigogo2014 ?
Je, IGP bado anamtafuta Mange Kimambi?

Je IGP bado ana kesi na Manji?

Tunaamini Polisi ya Tanzania inapambana na wahalifu au inapambana na watu wenye mtizamo tofauti na CCM na viongozi wake?

Kama wanapambana na mitizamo hasi dhidi ya CCM ni lina tutapata jeshi linaloyaishi mahitajio ya sheria na katiba ya nchi?
 
Ukishakuwa sisiemu, unakuwa malaika.. hakuna tatizo.

Hata malaika wa heri kuna wakati hutembelea motoni.
 
Atarudi Bongo Na Escorts Tele Za Police
 
Je, IGP bado anamtafuta Kigogo2014 ?
Je, IGP bado anamtafuta Mange Kimambi?

Je IGP bado ana kesi na Manji?

Tunaamini Polisi ya Tanzania inapambana na wahalifu au inapambana na watu wenye mtizamo tofauti na CCM na viongozi wake?

Kama wanapambana na mitizamo hasi dhidi ya CCM ni lina tutapata jeshi linaloyaishi mahitajio ya sheria na katiba ya nchi?
Sirro ataondoka kwa aibu sana
 
Da Mange muache kabisa. Yeye na makahaba wenzie ndio waliompokea mother kule state. Hapo asubiri uteuzi tu. Gender balance
 
Je, IGP bado anamtafuta Kigogo2014 ?
Je, IGP bado anamtafuta Mange Kimambi?

Je IGP bado ana kesi na Manji?

Tunaamini Polisi ya Tanzania inapambana na wahalifu au inapambana na watu wenye mtizamo tofauti na CCM na viongozi wake?

Kama wanapambana na mitizamo hasi dhidi ya CCM ni lina tutapata jeshi linaloyaishi mahitajio ya sheria na katiba ya nchi?
Polisi wapo ajili ya kupambana na upinzani pekee
 
Back
Top Bottom