Kwa kumbukumbu zangu sijawah kushuhudia chadema wakimuunga IGP yeyote
Na hata akija mwingne chadema msitegemee mserereko tena ajaye ni bora siro
Mwisho wa siku sijawahi kuona mtu yeyote ambaye ni msimamizi wa sheria akapendwa na watu.Kwa kumbukumbu zangu sijawah kushuhudia chadema wakimuunga IGP yeyote
Na hata akija mwingne chadema msitegemee mserereko tena ajaye ni bora siro
Duu wanaotoa mada wote and wanaokoment ni CDM? acha fikra hizo laa hutafaidi Jamii forumsKwa kumbukumbu zangu sijawah kushuhudia chadema wakimuunga IGP yeyote
Na hata akija mwingne chadema msitegemee mserereko tena ajaye ni bora siro
Nasty, Akili za ki-CCM, Chadema imetoka wapi katika andiko hili
Kwa sababu weye ni katka wao.Kwa kumbukumbu zangu sijawah kushuhudia chadema wakimuunga IGP yeyote
Na hata akija mwingne chadema msitegemee mserereko tena ajaye ni bora siro
Mwisho wa siku afadhali hata hao Polisi, wanasiasa ambao ndio mabingwa wa kutukana polisi wao hata kuandika majina yao kwenye form za uchaguzi HAWAJUITatizo linaanza pale kigezo cha kujiunga na polisi hadi uwe na division 4 au umefeli
sukuma gangKwa kumbukumbu zangu sijawah kushuhudia chadema wakimuunga IGP yeyote
Na hata akija mwingne chadema msitegemee mserereko tena ajaye ni bora siro
Na wewe ni Chaggadomosukuma gang
Sirro jiulize kwanini HAMZA hakuua RAIA zaidi ya POLISI WAKO?Kwa matamshi yako ya juzi na ulivyolishughulikia suala la marehemu Hamza, hakuna anayekuunga mkono. Kila mtanzania mwenye akili, mpenda haki, ukiacha wanaojikomba wapate mlo wao (wanafiki), watu wema, wapenda haki wanakulaani kwa matamshi yako.
Unaonekana kuwatetea mapolisi pamoja na kuwa wamejijengea sifa ya kuonea watu , kula rushwa na maovu mengine (ingawa siyo wote but by a majority wako hivyo).
Rais wako alionya juu ya uonevu na kutumia nguvu kupita kasi, UKAMPUUZA.
Mwisho wa siku afadhali hata hao Polisi, wanasiasa ambao ndio mabingwa wa kutukana polisi wao hata kuandika majina yao kwenye form za uchaguzi HAWAJUI
Na ujinga zaidi ni kuendelea kufyatua watoto halafu wanaenda kukaa chini huko madarasani huku kazi yako mfyatuaji ni kunywa pombe na kulaumu watu.Ajabu kweli, ajabu zaidi ni wale wanasiasa wamekaa miaka zaidi ya 60 kwenye utawala lakini wameshindwa maliza tatizo la madawati shuleni, maji
Na ujinga zaidi ni kuendelea kufyatua watoto halafu wanaenda kukaa chini huko madarasani huku kazi yako mfyatuaji ni kunywa pombe na kulaumu watu.
Maisha yako ni jukumu lako kwa asilimia 100. Ukikubali kuwa mtaji wa Mwanasiasa yeyote kwa ahadi kwamba atakufanyia chochote huo ni upumbavu wako mwenyewe.Ni ujinga zaidi kutumia wanywa pombe na wafyatua watoto kama mtaji wa kura. Huku fika ikijulikana hawawezi patiwa
Hapo Chadema wameingiaje ?Kwa kumbukumbu zangu sijawah kushuhudia chadema wakimuunga IGP yeyote
Na hata akija mwingne chadema msitegemee mserereko tena ajaye ni bora siro