Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Maisha yako ni jukumu lako kwa asilimia 100. Ukikubali kuwa mtaji wa Mwanasiasa yeyote kwa ahadi kwamba atakufanyia chochote huo ni upumbavu wako mwenyewe.
Usijaribu tena hahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yako ni jukumu lako kwa asilimia 100. Ukikubali kuwa mtaji wa Mwanasiasa yeyote kwa ahadi kwamba atakufanyia chochote huo ni upumbavu wako mwenyewe.
Sasa aliyeua polisi mbona kada wa CCMNasty, Akili za ki-CCM, Chadema imetoka wapi katika andiko hili
Hamza aliachwa akitokwa damu hadi anakata roho mbele ya vyombo vya dola,habari na jamii ya kitanzania na kimataifa.Ule ni ukosefu wa utu wa kiwango cha uhayawani maana hata maiti anatakiwa hifadhi.Nasikitika zaidi kwa sababu hakuna clip iliyodhalilisha maiti za askari na majeruhi wengine Double Standards hata kwa wafu?Tukio lilitokea alhamisi ya wiki iliyopita limeniumiza sana kufa kwa Bw. Hamza na askari polisi. Niwatakie pole kwa wafiwa wote.
Kama raia niliye na haki ya kutoa maoni, yangu ni haya: Lililoniumiza zaidi ni kufa kwa Hamza. Baada ya kugundua sababu ya kuchukua maamuzi yaliyowashitua wa-Tz ni kudhulumiwa madini yake iliniumiza sana.
Mazishi yake wamehudhuria watu tofauti na kila aliyepata nafasi ya kuhojiwa kuhusu Hamza maisha yake yanaonyesha hakuwa ni mwenye dosari na watu alikuwa ni mtu wa watu. Niliumia siku ya tukio lilitokea mpaka usiku nilishindwa kulala vizuri.
Mpaka muda huu naandika kifo cha Hamza kimeniumiza na kinaniumiza sana! Kimenitia simanzi mnoo! Dhulma aliyofanyiwa imemfanya achukue maamuzi aliyoyachukua ambayo yameleta mshituko ndani ya Taifa.
Siro anaulaghai umma wa waTz kwa maslahi ya kutetea ukosefu wa nidhamu wa askari wake. Askari hawana nidhamu kwa asilimia kubwa. Nchi yetu inafahamika jinsi ilivyo na haya ni maisha wanapoteza gharama za aina tofauti katika utafutaji wao. Jasho, damu na machozi yanawatoka katika utafutaji.
Askari polisi wamemfanyia dhulma. Wasitu-push raia tukavuka mipaka ya kushindwa kuhimili hasira zetu. Wengine hawana matatizo na mtu. Wakishvurugwa kipimo watakachokifikia kitaleta viulizo vingi, hususani kwa wapole. Na Hamza ndivyo alivyokuwa, ni mpole. Tunapenda amani, tunapenda amani.
Mwengine ukishakipoteza chake alichokipigania kwa nguvu kubwa haoni hasara ya yeye kujitoa liwalo na liwe kwa nguvu kubwa. Polisi wachunge jeshi lao liwe na nidhamu.
Sina chama.
Who is Chadema? Sina unasibu na Chadema, ila nawaunga mkono kwa vile wanatafuta HAKI. Hyo katili akija tutaishi naye kama makatili wengine. Mungu kwani una ahadi naye, anaweza akamkolimba kama JiweIko hivi chadema mnalichukia jeshi la polisi juzi tumepoteza askari wanne kutokana na kushambuliwa na gaidi lkn chadema mkashangilia
Mtalipwa sawasawa na matendo yenu nikuhabarishe tu chuma kinachokuja mtamkumbuka siro
huna akiliTukio lilitokea alhamisi ya wiki iliyopita limeniumiza sana kufa kwa Bw. Hamza na askari polisi. Niwatakie pole kwa wafiwa wote.
Kama raia niliye na haki ya kutoa maoni, yangu ni haya: Lililoniumiza zaidi ni kufa kwa Hamza. Baada ya kugundua sababu ya kuchukua maamuzi yaliyowashitua wa-Tz ni kudhulumiwa madini yake iliniumiza sana.
Mazishi yake wamehudhuria watu tofauti na kila aliyepata nafasi ya kuhojiwa kuhusu Hamza maisha yake yanaonyesha hakuwa ni mwenye dosari na watu alikuwa ni mtu wa watu. Niliumia siku ya tukio lilitokea mpaka usiku nilishindwa kulala vizuri.
Mpaka muda huu naandika kifo cha Hamza kimeniumiza na kinaniumiza sana! Kimenitia simanzi mnoo! Dhulma aliyofanyiwa imemfanya achukue maamuzi aliyoyachukua ambayo yameleta mshituko ndani ya Taifa.
Siro anaulaghai umma wa waTz kwa maslahi ya kutetea ukosefu wa nidhamu wa askari wake. Askari hawana nidhamu kwa asilimia kubwa. Nchi yetu inafahamika jinsi ilivyo na haya ni maisha wanapoteza gharama za aina tofauti katika utafutaji wao. Jasho, damu na machozi yanawatoka katika utafutaji.
Askari polisi wamemfanyia dhulma. Wasitu-push raia tukavuka mipaka ya kushindwa kuhimili hasira zetu. Wengine hawana matatizo na mtu. Wakishvurugwa kipimo watakachokifikia kitaleta viulizo vingi, hususani kwa wapole. Na Hamza ndivyo alivyokuwa, ni mpole. Tunapenda amani, tunapenda amani.
Mwengine ukishakipoteza chake alichokipigania kwa nguvu kubwa haoni hasara ya yeye kujitoa liwalo na liwe kwa nguvu kubwa. Polisi wachunge jeshi lao liwe na nidhamu.
Sina chama.
Huyu hana shida ya mlo ana hoteli kubwa 3 mwanzaKwa matamshi yako ya juzi na ulivyolishughulikia suala la marehemu Hamza, hakuna anayekuunga mkono. Kila mtanzania mwenye akili, mpenda haki, ukiacha wanaojikomba wapate mlo wao (wanafiki), watu wema, wapenda haki wanakulaani kwa matamshi yako.
Unaonekana kuwatetea mapolisi pamoja na kuwa wamejijengea sifa ya kuonea watu , kula rushwa na maovu mengine (ingawa siyo wote but by a majority wako hivyo).
Rais wako alionya juu ya uonevu na kutumia nguvu kupita kasi, UKAMPUUZA.
Huyu mzee kwa kweli hafai kabisa kuwa kiongoziKwa matamshi yako ya juzi na ulivyolishughulikia suala la marehemu Hamza, hakuna anayekuunga mkono. Kila mtanzania mwenye akili, mpenda haki, ukiacha wanaojikomba wapate mlo wao (wanafiki), watu wema, wapenda haki wanakulaani kwa matamshi yako.
Unaonekana kuwatetea mapolisi pamoja na kuwa wamejijengea sifa ya kuonea watu , kula rushwa na maovu mengine (ingawa siyo wote but by a majority wako hivyo).
Rais wako alionya juu ya uonevu na kutumia nguvu kupita kasi, UKAMPUUZA.
Wamejiwekea kila anayepiga ni CHADEMA kitu ambacho siyoHapo Chadema wameingiaje ?
Kwanini kama hana shida asijihuzulu akaenda kusimamia hoteli zake?
Who is Chadema? Sina unasibu na Chadema, ila nawaunga mkono kwa vile wanatafuta HAKI. Hyo katili akija tutaishi naye kama makatili wengine. Mungu kwani una ahadi naye, anaweza akamkolimba kama Jiwe

Shenzi sana hili aijipi.Kwa matamshi yako ya juzi na ulivyolishughulikia suala la marehemu Hamza, hakuna anayekuunga mkono. Kila mtanzania mwenye akili, mpenda haki, ukiacha wanaojikomba wapate mlo wao (wanafiki), watu wema, wapenda haki wanakulaani kwa matamshi yako.
Unaonekana kuwatetea mapolisi pamoja na kuwa wamejijengea sifa ya kuonea watu , kula rushwa na maovu mengine (ingawa siyo wote but by a majority wako hivyo).
Rais wako alionya juu ya uonevu na kutumia nguvu kupita kasi, UKAMPUUZA.
Ahsante 🙏huna akili
Shenzi sana hili aijipi.