IGP Sirro, hakuna anayekuunga Mkono

Hapa ni ukoo wa pànya tu!! Tangu babu na babu hadi wajukuu na vitukuu kwa ukoo wa panya wote ni wezi!!!!!
 
Hamza aliachwa akitokwa damu hadi anakata roho mbele ya vyombo vya dola,habari na jamii ya kitanzania na kimataifa.Ule ni ukosefu wa utu wa kiwango cha uhayawani maana hata maiti anatakiwa hifadhi.Nasikitika zaidi kwa sababu hakuna clip iliyodhalilisha maiti za askari na majeruhi wengine Double Standards hata kwa wafu?
Jambo lingine ni jinsi ambavyo Mungu aliwaepushia dhahma wapinzani kama CHADEMA,CUF,ACT Wazalendo ama NCCR Mageuzi.Ole wao na heri yao Hamza hakuwa mwanachama wao vinginevyo wangeumia sana.
Tumeshusha sana viwango vya Haki kwa wananchi wenzetu.Watanzania wanaonewa ndani ya nchi yao na vyombo vya kuwalinda ambavyo vipo kisheria.Haki huinua Taifa.
 
Iko hivi chadema mnalichukia jeshi la polisi juzi tumepoteza askari wanne kutokana na kushambuliwa na gaidi lkn chadema mkashangilia
Mtalipwa sawasawa na matendo yenu nikuhabarishe tu chuma kinachokuja mtamkumbuka siro
Who is Chadema? Sina unasibu na Chadema, ila nawaunga mkono kwa vile wanatafuta HAKI. Hyo katili akija tutaishi naye kama makatili wengine. Mungu kwani una ahadi naye, anaweza akamkolimba kama Jiwe
 
huna akili
 
Huyu hana shida ya mlo ana hoteli kubwa 3 mwanza

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mzee kwa kweli hafai kabisa kuwa kiongozi
 
Akili zenu zinaishia kwenye kifo tu chadema hamfii?
Who is Chadema? Sina unasibu na Chadema, ila nawaunga mkono kwa vile wanatafuta HAKI. Hyo katili akija tutaishi naye kama makatili wengine. Mungu kwani una ahadi naye, anaweza akamkolimba kama Jiwe
 
Akili zenu zinaishia kwenye kifo tu chadema hamfii?
Who is Chadema? Sina unasibu na Chadema, ila nawaunga mkono kwa vile wanatafuta HAKI. Hyo katili akija tutaishi naye kama makatili wengine. Mungu kwani una ahadi naye, anaweza akamkolimba kama Jiwe
 
Shenzi sana hili aijipi.
 
Hata nashangaa bado yupo madarakani. Sirro jiuzulu hufaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…