Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa malori wanaonewa sana hsliwezi kupita point yoyite ya polisi bila kusimamishwa na kutoa chochote.tatizo polisi wameshaona kupokea rushwa na kuchukua hela za raia ni haki yao.. hapo usitegemee watatimiza majukum yao hata akija nani. Madereva wengi hata akiwa amekamilisha kila kitu lakini bado anatakiwa kuwa na hela ya trafiki na sio ya faini
Kama nimesoma uzi vizuri mleta uzi ametaja ubovu wa magari ambayo breki inaingia humo na ubovu wa barabara ameutaja pia.Umesema chanzo kikubwa ni mwendo kasi... nakupinga hili..
Ajali zote za mkoa wa mbeya asilimi zaidi ya 80 ni ubovu wa mifumo ya magari hasa upande wa brake...
Kingine ni miondombinu ya barabara..mfano moja ya ajli za Mbeya derea wa roli alihama upande wake akaajaa kulia kisa akwepe shimo lilikua upande wake...sasa hapa siro sijui tumuweke wapi.
naomba nimalize ....
Makusanyo yapi?!!Kama nimesoma uzi vizuri mleta uzi ametaja ubovu wa magari ambayo breki inaingia humo na ubovu wa barabara ameutaja pia.
Kumbuka polisi kikosi cha usalama ni jukumu lao kukagua ubovu wa gari lkn wao huegemea makusanyo tu
Rushwa😅Makusanyo yapi?!!
Sema Rushwa!!
Aombe kupumzika kisha apangiwe kazi nyingine? Tumia akili yako, kama unayo.Mabeyo kaomba kupumzika Mzee alikuwa Hana shida na Samia mabeyo
Hilo nalo neno kijanaAombe kupumzika kisha abadilishiwe majukumu? Tumia akili yako, kama unayo.
Nchi hii ukaguz ukifanyika kikwelikweliKama nimesoma uzi vizuri mleta uzi ametaja ubovu wa magari ambayo breki inaingia humo na ubovu wa barabara ameutaja pia.
Kumbuka polisi kikosi cha usalama ni jukumu lao kukagua ubovu wa gari lkn wao huegemea makusanyo tu
Kwa hiyo hawatimizi majukumu kwasababu tutalalamika?.Nchi hii ukaguz ukifanyika kikwelikweli
Asilimia ndogo sana ya magari ndiyo
Yatakuwa barabarani...
Mwisho wa siku wabongo wenyewe
Mtaanza kulalamika..
Maana watanzania hawajuagi washike lipi na wanataka nini!
Mwisho!usalama wowote unaanzia na weee,mimi....
Hivi unafikiri huyo mwenye gari hakujua kama gari lake lilikuwa na ubovu....
Ova
Vyombo vya dola huwa havifanyi kazi kwa matakwa ya watu yaliyo kinyume na sheria mkuu.Nchi hii ukaguz ukifanyika kikwelikweli
Asilimia ndogo sana ya magari ndiyo
Yatakuwa barabarani...
Mwisho wa siku wabongo wenyewe
Mtaanza kulalamika..
Maana watanzania hawajuagi washike lipi na wanataka nini!
Mwisho!usalama wowote unaanzia na weee,mimi....
Hivi unafikiri huyo mwenye gari hakujua kama gari lake lilikuwa na ubovu....
Ova
Kabadilishiwa majukumu gani kijana?Aombe kupumzika kisha apangiwe kazi nyingine? Tumia akili yako, kama unayo.
Atakayeshughulikia kikamilifu rushwa ya hawa askari wa barabarani atasaidia sana kupunguza tatizo la ajali barabarani.Tatizo polisi wameshaona kupokea rushwa na kuchukua hela za raia ni haki yao.. hapo usitegemee watatimiza majukum yao hata akija nani. Madereva wengi hata akiwa amekamilisha kila kitu lakini bado anatakiwa kuwa na hela ya trafiki na sio ya faini
Wamejigeuza TRA ndogo.Yaan hao wenye mavaz meupe ndio kama wamejipa majukumu wamebaki kuokoteza kama wanakusanya hela za mchezo, pita maeneo haya uone utafikiri kama wao vijumbe wa michezo.
1 Mwembe yanga
2😀arajani njia hii kama unaenda kutokea keko
3😛ale relini (DEVIS CONNER) kama unakwenda Buza.
Lazima ajari zitokee sana, watu wamejipa majukumu mengine badala ya kusimamia
Tatizo hizo rushwa wanagawana na askari wa juu, kumbuka ili uwe askari wa usalama barabarani sharti utoe pesa ndefuAtakayeshughulikia kikamilifu rushwa ya hawa askari wa barabarani atasaidia sana kupunguza tatizo la ajali barabarani.