Inasemekana kwamba aliyekuwa OCD wa Hai kipindi cha Uchaguzi ndiye amekuwa RPC wa Kinondoni na ndiye aliyemwambia Mbowe juzi walipomkamata kwa kumdhalilisha kwamba safari hii hachomoi watampiga na kesi ya Ugaidi.
Kama hili ni kweli kamanda Sirro unawezaje kutuaminisha kwamba Jeshi la Polisi Tanzania si Jumuiya ya CCM kama UWT na zinginezo?
Uliahidi kufanya uchunguzi wa huyo OCD kwa kufanya siasa kwa kauli yake kwa Mbowe na ulikiri hadharani kwamba kama kweli kasema hivyo ni makosa kwani hiyo si kazi ya jeshi la Polisi. Hujatupa report ya uchunguzi uliotangaza hadharani badala yake umempa u-RPC mtuhumiwa.
Kwa haya yote plus ya jana kutuambia kwamba kuandamana ni kuvunja sheria bado unataka wananchi tuwe na imani kwako na jeshi la Polisi?
Hapana hatuwezi asilani mkuu.