Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sirro =0°Nataka IGP Sirro ajitokeze atueleze Haya yafuatayo
Moja, Wahusika waliomshambulia Lissu
Pili, Nani alimuua Alphonce Mawazo
Tatu, Nani aliyempoteza Ben Saanane
NNE, yuko wapi Azory Gwanda
Tano, kuna taarifa za watu kipindi kile kukutwa kwenye viroba (tukaambiwa ni wakimbizi)
Sita, watu mbalimbali waliopotea/potezwa jeshi la Polisi limefikia wapi uchunguzi wake?
Saba, Nani alimuua Akwilina
Nane, Nani alimtishia Pistol Nape Nnauye
Tisa, mnaweza kuongeza na mengine mengi.
Ajitokeze aseme hadharani waliomteka Mohammed Dewji na kwanini mtuhumiwa ameachiwa huru?
Tunasubiri atueleze kama alivyotueleza kuhusu Mbowe
Hawezi, anajiona malaika hatakufaUshauri kwa Sirro anajiandaa kustaafu Hana Cha kupoteza ajitenge na maigizo asimamie taaluma yake.
Yule mwamba angekuwepo wakati huu ingekuwa sio powa. Angetajirika sana awamu hizi.maana unaporwa na unauliwaUmenikumbusha yule kamanda aliyeitisha press na kusema watu waliouawa ni majambazi kumbe ni wafanyabiashara wa madini.
Mbowe sio gaidi
Yakitolewa majibu popote tujulishana wajameni.Nataka IGP Sirro ajitokeze atueleze Haya yafuatayo
1. Wahusika waliomshambulia Lissu
2. Nani alimuua Alphonce Mawazo
3. Nani aliyempoteza Ben Saanane
4. Yuko wapi Azory Gwanda
5. Kuna taarifa za watu kipindi kile kukutwa kwenye viroba (tukaambiwa ni wakimbizi)
6. watu mbalimbali waliopotea/potezwa jeshi la Polisi limefikia wapi uchunguzi wake?
7. Nani alimuua Akwilina
8. Nani alimtishia Pistol Nape Nnauye
9. Mnaweza kuongeza na mengine mengi.
Ajitokeze aseme hadharani waliomteka Mohammed Dewji na kwanini mtuhumiwa ameachiwa huru?
Tunasubiri atueleze kama alivyotueleza kuhusu Mbowe
Hapa ndio pale pa kuelewana na kuongea lugha moja.Nchi hii haindelei kwasababu ya kuwa na viongozi viazi kawa hawa, mbaya kabisa unaapa kulinda watu na mali zao huku unakuja kuwabambikiza makesi na hata wakidai haki zao unatishia kuwavunja miguu.
Intelijensia hairuhusu kutolea ufafanuzi wa hayo hapo juu,kwa usalama wa vyombo pendwaNataka IGP Sirro ajitokeze atueleze Haya yafuatayo
1. Wahusika waliomshambulia Lissu
2. Nani alimuua Alphonce Mawazo
3. Nani aliyempoteza Ben Saanane
4. Yuko wapi Azory Gwanda
5. Kuna taarifa za watu kipindi kile kukutwa kwenye viroba (tukaambiwa ni wakimbizi)
6. watu mbalimbali waliopotea/potezwa jeshi la Polisi limefikia wapi uchunguzi wake?
7. Nani alimuua Akwilina
8. Nani alimtishia Pistol Nape Nnauye
9. Mnaweza kuongeza na mengine mengi.
Ajitokeze aseme hadharani waliomteka Mohammed Dewji na kwanini mtuhumiwa ameachiwa huru?
Tunasubiri atueleze kama alivyotueleza kuhusu Mbowe
Umenikumbusha yule kamanda aliyeitisha press na kusema watu waliouawa ni majambazi kumbe ni wafanyabiashara wa madini.
Mbowe sio gaidi
Siro anapoteza akili kama igp hafai kabisa.Nataka IGP Sirro ajitokeze atueleze Haya yafuatayo