IGP Sirro itisha Press Conference ueleze haya nayo

IGP Sirro itisha Press Conference ueleze haya nayo

Lissu alipigwa risasi na Abubakar kwa kushirikiana na serikali, hayaho mengine ni makelele tu
 
Waliotupa sumu ndani kwa Kabendera na kuua mbwa wawili. Kabendera alikiri kuwa na CCTV ya tukio alipohojiwa na BBC
 
Nataka IGP Sirro ajitokeze atueleze Haya yafuatayo

1. Wahusika waliomshambulia Lissu
2. Nani alimuua Alphonce Mawazo
3. Nani aliyempoteza Ben Saanane
4. Yuko wapi Azory Gwanda
5. Kuna taarifa za watu kipindi kile kukutwa kwenye viroba (tukaambiwa ni wakimbizi)
6. watu mbalimbali waliopotea/potezwa jeshi la Polisi limefikia wapi uchunguzi wake?
7. Nani alimuua Akwilina
8. Nani alimtishia Pistol Nape Nnauye
9. Mnaweza kuongeza na mengine mengi.

Ajitokeze aseme hadharani waliomteka Mohammed Dewji na kwanini mtuhumiwa ameachiwa huru?

Tunasubiri atueleze kama alivyotueleza kuhusu Mbowe
asante Elli! Elli M
 
Back
Top Bottom