Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Tumsifu Yesu Kristu IGP Simon Sirro!
IGP Sikufundishi kazi lakini naona kama unalazimishwa kumkamata Askofu Gwajima! Kwa maneno ya Mh Spika jana pale Bungeni ni kama alikerekwa na kauli yako yakutaka barua toka Wizara ya Afya ikionyesha jinai iliyofanywa na Askofu Gwajima, Spika amekushangaa kuwa jinai huioni?
Sasa IGP mi nakushauri tu, kwa mujibu wa sheria Jinai huwa haifi, record zote zipo za ao wapinga chanjo awamu 5 mi nakushauri wote kamata kaweke korokoni huko!