Mimi hata sikuelewi!! Kwa hiyo ambao hawajachanjwa hawatamufa? "Akili ya kuambiwa ongeza na ya kwako" Au huna kabisa? Very Foolish contribution.Mimi mwenyewe napinga chanjo kwa nguvu zote. Kama umechanjwa subiri tu kufa,maana umechanjwa iliyopoteza ubora. Utunzaji wa chanjo hapa sivyo inavyotakiwa. Mwisho jiulize toka ifike,pamoja na kampeni zote,na propaganda zote,wamechanja watu laki 3 tu
Umekula?Mimi mwenyewe napinga chanjo kwa nguvu zote. Kama umechanjwa subiri tu kufa,maana umechanjwa iliyopoteza ubora. Utunzaji wa chanjo hapa sivyo inavyotakiwa. Mwisho jiulize toka ifike, pamoja na kampeni zote,na propaganda zote, wamechanja watu laki 3 tu
Umemsikia spika jana? Umesoma kilichopo ndani? Au umesoma kichwa cha habari tu pekee?Kwa hiyo kukataa chanjo ndio Jinai? Hujajenga hoja ya kutufanya tujadili!!!
Hivi wee nchi hii kuanzia Ikulu watu wa usalama, Wanasheria wa Serikali, na Police unadhan kweli kabisaaaaa wamemuogopa Gwajima au unadhan kwamba hawajui kutafisiri ya Jinai hivyo wameshindwa badala yake ndugai ndo kawazidi akili?..
Umemsikia spika jana? Umesoma kilichopo ndani? Au umesoma kichwa cha habari tu pekee?
Chanjo yenyewe haina final approval unalazimisha kuchanja watu mwenye jinai ni nani hapo sasa? huyu anayelazimisha watu kuchanja chanjo iliyo kwenye majaribio/utafiti au anayekataa kufanywa panya wa majaribio.kwani kupinga chanjo ni jinai?
Pia Jaffo na Msukuma.....!!
Tumsifu Yesu Kristu IGP Simon Sirro!
IGP Sikufundishi kazi lakini naona kama unalazimishwa kumkamata Askofu Gwajima! Kwa maneno ya Mh Spika jana pale Bungeni ni kama alikerekwa na kauli yako yakutaka barua toka Wizara ya Afya ikionyesha jinai iliyofanywa na Askofu Gwajima, Spika amekushangaa kuwa jinai huioni?
Sasa IGP mi nakushauri tu, kwa mujibu wa sheria Jinai huwa haifi, record zote zipo za ao wapinga chanjo awamu 5 mi nakushauri wote kamata kaweke korokoni huko!
Chanjo yenyewe haina final approval unalazimisha kuchanja watu.......mwenye jinai ni nani hapo sasa? huyu anayelazimisha watu kuchanja chanjo iliyo kwenye majaribio/utafiti au anayekataa kufanywa panya wa majaribio...
Uko sahihi watu wa usalama wanaelewa vizuri kuwa hakuna jinai na hawamuogopi Gwajima,tatizo ni Ndugai kuwa ni bosi wa kila muhimili kuwaamulia la kufanya,yaani IGP amwamulie afanye lipi, Mwanasheria mkuu amwamulie afanye lipi,waziri afanye lipi.Kwa hiyo kukataa chanjo ndio Jinai? Hujajenga hoja ya kutufanya tujadili!!!
Hivi wee nchi hii kuanzia Ikulu watu wa usalama, Wanasheria wa Serikali, na Police unadhan kweli kabisaaaaa wamemuogopa Gwajima au unadhan kwamba hawajui kutafisiri ya Jinai hivyo wameshindwa badala yake ndugai ndo kawazidi akili...
Unajua ile chanjo inaharibu afya ya akiliNimemsikia, kasema makosa ya Gwajima akiyarudia watamuita waziri wa mambo ya ndan...kwenye kamati. Swali namba moja, makosa ya Gwajima ni yapi? Si kukataa chanjo? Au
swali namba mbili logic ya kumuita waziri wa mambo ya ndan, maana yake kashindwa Kaz siyo?? Sasa huyo wazir yuko chini ya muhimili gan?
Yeye anafanya check and balance sio kuidhalilisha serikaliKwa hiyo kukataa chanjo ndio Jinai? Hujajenga hoja ya kutufanya tujadili!!!
Hivi wee nchi hii kuanzia Ikulu watu wa usalama, Wanasheria wa Serikali, na Police unadhan kweli kabisaaaaa wamemuogopa Gwajima au unadhan kwamba hawajui kutafisiri ya Jinai hivyo wameshindwa badala yake ndugai ndo kawazidi akili?
Shida kubwa Ina anzia kwenye ripot ya raisi iliyo sema, kuchanjwa ni si lazma, sasa hapo ndo Gwajima anasema mm hapana...
Taasisi za kiusalama za nchi zilisha ona hakuna jinai, ndio maana Gwajima wanampotezea lakin si kwamba wanamuogopa au hawajui Kama ni Jinai.....
Na sasa sipika ndo kwanza alitakiwa kuitwa akahojiwe maana kauli zake za Jana dhidi ya serikali kutochukua hatua ni Kama nayeye kaudharirisha muhimili wa upande mwingine
Niambie kifungu kipi Cha penal code amekivunja ?Tumsifu Yesu Kristu IGP Simon Sirro!
IGP Sikufundishi kazi lakini naona kama unalazimishwa kumkamata Askofu Gwajima! Kwa maneno ya Mh Spika jana pale Bungeni ni kama alikerekwa na kauli yako yakutaka barua toka Wizara ya Afya ikionyesha jinai iliyofanywa na Askofu Gwajima, Spika amekushangaa kuwa jinai huioni?
Sasa IGP mi nakushauri tu, kwa mujibu wa sheria Jinai huwa haifi, record zote zipo za ao wapinga chanjo awamu 5 mi nakushauri wote kamata kaweke korokoni huko!
Akili zako na askofu Rashidi zipo sawa kabisa tatzo lako hauna helaMimi mwenyewe napinga chanjo kwa nguvu zote. Kama umechanjwa subiri tu kufa,maana umechanjwa iliyopoteza ubora. Utunzaji wa chanjo hapa sivyo inavyotakiwa. Mwisho jiulize toka ifike, pamoja na kampeni zote,na propaganda zote, wamechanja watu laki 3 tu