Ni kweli Gwajima nampa big up sana kwenye hili swala. Kuhusu hela kawaulize wenzio. Mimi na Gwajima tunaweza kutofautiana hesabu tu,kama ilivyo kwa Mo hawezi kuwa sawa na Bakharesa.Akili zako na askofu Rashidi zipo sawa kabisa tatzo lako hauna hela
Nimemsikia, kasema makosa ya Gwajima akiyarudia watamuita waziri wa mambo ya ndan...kwenye kamati. Swali namba moja, makosa ya Gwajima ni yapi? Si kukataa chanjo? Au
swali namba mbili logic ya kumuita waziri wa mambo ya ndan, maana yake kashindwa Kaz siyo?? Sasa huyo wazir yuko chini ya muhimili gan?
Haaahaaaa...kuchanjwa hata nchi zilizoendelea ni hiari. Marekani wanatoa dola 100 ukienda kuchanja. Kwanini iwe lazima kwetu? Mnajuaje nilishachanja kabla ya corona na ninadund poa tu? Mbona kufa kuko pale pale. Why Corona tumeipa special attention? Globalists at their bestKwani kupinga chanjo ni jinai?
Marekani wanatoa dola 100 kwa sababu chanjo bado zipo kwenye majaribio.......huwezi kutumia watu kama panya wa majaribio bure bure tu....Haaahaaaa...kuchanjwa hata nchi zilizoendelea ni hiari. Marekani wanatoa dola 100 ukienda kuchanja. Kwanini iwe lazima kwetu? Mnajuaje nilishachanja kabla ya corona na ninadund poa tu? Mbona kufa kuko pale pale. Why Corona tumeipa special attention? Globalists at their best
Anahitaji barua ya kibali cha kukamataTumsifu Yesu Kristu IGP Simon Sirro!
IGP Sikufundishi kazi lakini naona kama unalazimishwa kumkamata Askofu Gwajima! Kwa maneno ya Mh Spika jana pale Bungeni ni kama alikerekwa na kauli yako yakutaka barua toka Wizara ya Afya ikionyesha jinai iliyofanywa na Askofu Gwajima, Spika amekushangaa kuwa jinai huioni?
Sasa IGP mi nakushauri tu, kwa mujibu wa sheria Jinai huwa haifi, record zote zipo za ao wapinga chanjo awamu 5 mi nakushauri wote kamata kaweke korokoni huko!