#COVID19 IGP Sirro: Msidanganywe kuhusu chanjo ya Corona

#COVID19 IGP Sirro: Msidanganywe kuhusu chanjo ya Corona

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Kwa kauli hii ya Mkuu wa Jeshi la Polisi maana yake kuna waliodanganya/kupotosha jamii. Tunasubiri hatua zaidi zichukuliwe!

 
Legally ana kila haki ya kuwatia mbaroni hao wanaozungumzia mambo ya kitaaluma bila taaluma husika na kuwaambia watu kama vile wanachosema ni proven
 
The Ministry of Truth,Reconciliation and Propaganda is at work
 
Back
Top Bottom