Shujaa Mwendazake JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 4,016 Reaction score 6,759 Jul 29, 2021 #1 Kwa kauli hii ya Mkuu wa Jeshi la Polisi maana yake kuna waliodanganya/kupotosha jamii. Tunasubiri hatua zaidi zichukuliwe! Your browser is not able to display this video.
Kwa kauli hii ya Mkuu wa Jeshi la Polisi maana yake kuna waliodanganya/kupotosha jamii. Tunasubiri hatua zaidi zichukuliwe! Your browser is not able to display this video.
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Jul 29, 2021 #2 Legally ana kila haki ya kuwatia mbaroni hao wanaozungumzia mambo ya kitaaluma bila taaluma husika na kuwaambia watu kama vile wanachosema ni proven
Legally ana kila haki ya kuwatia mbaroni hao wanaozungumzia mambo ya kitaaluma bila taaluma husika na kuwaambia watu kama vile wanachosema ni proven
KingCobra95 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 3,249 Reaction score 5,863 Jul 29, 2021 #3 The Ministry of Truth,Reconciliation and Propaganda is at work