IGP Sirro na Waziri wa Mambo ya Ndani tafadhali upesi sana Kamateni 'Viongozi' wa Yanga SC na Coastal Union FC kwa 'Ukatili' huu uliofanyika leo Tanga

Anaepaswa kukamatwa mara moja na wananchi na kubinywa chuchu ni hili fisadi linalohamasisha ufisadi kwenye serikali yake tena kupitia TV ya Taifa🤡🤡🤡
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna watu waliokotwa wameuliwa kwenye viroba fukweni, kuna watu walipigwa risasi mchana, masoko yanaungua moto, Nape alitolewa bastora mchana, etc na hakuna aliyekamatwa halafu leo mtu akamatwe kwasababu ya kidole? Be serious brother hii ni Africa [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Jina jipya na sasa wananiita Le Ange Adorable ( yaani Malaika Ninayeabudiwa )

Adorable Angel...!

Mimi ni mdau wa draft aka madanali, sasa siku hizi vijiwe vingi neno 'Popoma' limekuwa la kawaida kwa kumaanisha ni kilaza wa draft; aka turatura, pimbi, nk.

Kila nikilisikia neno hilo nakukumbuka mwanzilishi wa neno hili Mkuu wa Mapopoma Genta!

Wewe ni game changer, umetuongezea msamiati na unatumika sana sasa hivi kitaa.
 
YANGA itakuua kwa pressure mtani!!unaweweseka sana sana
 
Umekuja na
Umekuja na ujinga mwingine hapa, mtateseka Sana safari hii
 
Coastal Union ndo zao.
 
Unaandika vitu vya kipuuzi
 
Umebaki muda mfupi utaokota makopo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hiki kijamaa tukijaribu kuruhusu fikra zake always tunaezafail in everything. Pumbafu
 
Waulizeni wale wazee walikuwa wanajitapa Kwa uchawi wa kosti watawapa majibu yote
 
Sasa Genta, wakamatwe viongozi wa hizo timu kwani wao ndio wamiliki wa uwanja?
 
Kwamba Siro hana kazi za maana za kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…