IGP Sirro: Nilikimbiwa na mchumba mwanasheria kisa Ukurya wangu

IGP Sirro: Nilikimbiwa na mchumba mwanasheria kisa Ukurya wangu

Afanaaleki eti "angejisikiaje kama angeolewa na mtu wakawaida" acha kunitia hasira wewe
 
Sirro mbna anazingua,km mdada kapata anayempenda kwa dhati na mahaba tele anadhan atajuta coz yy ni IGP hawajui wanawake vzur.Hao wanaotembea na waendesha bodaboda wakat wana waume zao inakuwaje?Angekuwa amependwa asingekimbiwa kisa stereo type coz sio kweli kwamba wte wako hvyo.
 
Hata kama kaolewa na mpiga debe, ikiwa anayafurahia mahusiano yake, hana alichopoteza.
 
Jamani Mr Aijiipii polee looh..lakini hata mie pia ni Mwanasheria msomi wanna rub off the tears
 
Back
Top Bottom