johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi hii kauli ya kujisalimisha mara moja huwa wanamaanisha au ni mikwara ambayo haina maana yoyote.Aidha Sirro amewataka wote walioshiriki kufanya mauwaji ya watu hao 6 kujisali!isha mara moja.
Wamaasai wote kufungiwa msituni..Suluhu ya kudumu ya hii ishu ni nini?
We haribu then uisikie ikiwa inakuhusu ndio utajua ni mkwara au real!Hivi hii kauli ya kujisalimisha mara moja huwa wanamaanisha au ni mikwara ambayo haina maana yoyote.
Kwahiyo hao waliofanya mauwaji ya watu 6 watajisalimisha polisi?We haribu then uisikie ikiwa inakuhusu ndio utajua ni mkwara au real!
Suluhu ya kudumu ya hii ishu ni nini?
Noma sana kwa kweli!Wafugaji wafuge kisasa.
Sasa una mifuko malisho unategemea kwa mwenzio.?
Ardhi ni lazima ipimwe na kuwekewa mipaka kisheria.Suluhu ya kudumu ya hii ishu ni nini?
Ufugaji holela utangazwe kuwa ugaidiWafugaji wafuge kisasa.
Sasa una mifuko malisho unategemea kwa mwenzio.?
Mkaldanyo haiwezekani asee. Lazima tuendelee na life