IGP Sirro: Nimeumia sana kuwasikia Wanafunzi wakiniambia hawajaenda shule kwa sababu wanaogopa kuuawa na Wamasai hapa Kilindi

IGP Sirro: Nimeumia sana kuwasikia Wanafunzi wakiniambia hawajaenda shule kwa sababu wanaogopa kuuawa na Wamasai hapa Kilindi

Si mlimuondoa bingwa wa kutatua migogoro ya ardhi, Mh. Lukuvi

Acha mvua iendelee kunyesha sasa
Mpuuzi yule..
Mama aliona mbali....
Alikuwa anataka kuwakomoa watanzania wanaoishi nje, wakati nchi hairuhusu uraia pacha...
Akafie mbali...na Mama mara vuuuu... kashakopa vya kutosha................... Uraia pacha huoooooo.......
 
Duh, hivi huyu Mkuu Ana hujumiwa au ndo uwezo wake ulipoishia?!

mbona mauaji yapo Kila kona?

kweli the lights are On but.
 
Screenshot_20220201-051154.jpg
 
KABISA KABISA

hauwezi ukawa na mifugo alafu haujui utawalisha wapi.

vinginevyo na wao wawe wakulima ili siku wakipanda mahindi wawapeleke mifuko wakale kwenye hayo mahindi yao waone inavyouma.
Umepanda mazao kwa muda labda wa miezi miwili bado hayajakomaa.

Ila wakiingia humo nusu saa nyingi wameshaharibu na mazao hayawezu kurudi Tena.

Ufugaji holela utangazwe kuwa ugaidi
 
Ardhi ni lazima ipimwe na kuwekewa mipaka kisheria.

Kutengwa maeneo maalum/ mapori ya wafugaji kuchunga.

Sheria zilizopo zitiliwe mkazo na kutekelezwa kwa ufasaha mfano ile ya kupiga marufuku kusafirisha mifugo kwa kuwatembeza.

Ziundwe kamati za ulinzi mpaka huko mashinani zitakazoshirikisha pande zote mbili husika (wafugaji na wakulima).

Elimu ya ufugaji wa kisasa na yenye tija.

Kuwepo na maridhiano baina ya pande mbili zenye kuhusika na migogoro.

Mamlaka ijitahidi kupeleka mahitaji muhimu ya kijamii kwenye maeneo yaliyoathirika na mgogoro.

Hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa waliohusika kuchochea na kutekeleza vitendo vya jinai,ili iwe fundisho kwa wengine.
Ndugu wanaojiita wafugaji ni wazurulaji in general

Mkulima hahami Ila wao wanatangatanga, Leo Tanga kesho utawakuta Turiani, wametokea Bwawani

Serikali zote zimeshajaribu kutafuta suluhisho, kutag mifugo, Wakagomea katu katu kwani, ingejulikana mifugo ya Nani imeenda kufanya tukio.
 
Masai anaamini kuwa majani huota yenyewe na kwamba ni halali yake.

Lakini ukweli ni kwamba mkulima asipolima, majani hayaoti. Ukienda maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya malisho hayafai kwa sanabu hayalimwi na hivyo basi hakuna malisho.

Hili linafanya Masai amfuate mkulima karibu ili apate malisho na hatimaye vita.

Nimewahi kuwa mkulima Kiteto. Wamasai walikuwa wanaleta mifugo na kupiga kambi kuzunguka shamba. Usiku wa manani wanaingiza mifugo shambani. Kwa hiyo ilikuwa inatubidi kuamka kupambana maana hatukuwa tunaruhusu mifugo shambani kuwe au kusiwe na mazao.

Mifugo wanaharibu sana shamba linakosa rutuba.

Kwa hiyo kichwa ngumu ni wafugaji ambao huwafata wakulima
 
Mifugo ikikanyaga ardhi ni kama compactor ya barabara, hailimiki, inakuwa ngumu, ardhi inakuwa kama barabara hakuna kinachoota,
Ndiyo maana wengine tukishavuna, tunaingiza tractor, kunalimwa ardhi imebinuliwa chini juu, juu chini, mchwa wanaozesha, wafugaji wanakuwa hawana chao.

Wao wanajidai matajiri. Wanunue maekari, wananunue matrekta, walime, wamwage mipunga, kisha walishe mbona rahisi! Ila hawafanyi hivyo Kwa sababu ya uchoyo!
 
Jeshi la polisi lifumuliwe lote liundwe upya.. Linahitaji total overhaul...
Ngojea Kwanza wawaangamize hao masai wa huko kilindi,

Yaani masai wamemchinja Hadi mtoto mchanga!! Imeniuma aisee
 
Mifugo ikikanyaga ardhi ni kama compactor ya barabara, hailimiki, inakuwa ngumu, ardhi inakuwa kama barabara hakuna kinachoota,
Ndiyo maana wengine tukishavuna, tunaingiza tractor, kunalimwa ardhi imebinuliwa chini juu, juu chini, mchwa wanaozesha, wafugaji wanakuwa hawana chao.

Wao wanajidai matajiri. Wanunue maekari, wananunue matrekta, walime, wamwage mipunga, kisha walishe mbona rahisi! Ila hawafanyi hivyo Kwa sababu ya uchoyo!
Roho mbaya
 
Back
Top Bottom