Mpuuzi yule..Si mlimuondoa bingwa wa kutatua migogoro ya ardhi, Mh. Lukuvi
Acha mvua iendelee kunyesha sasa
Jeshi la polisi lifumuliwe lote liundwe upya.. Linahitaji total overhaul...Suluhu ya kudumu ya hii ishu ni nini?
Ufugaji holela utangazwe kuwa ugaidi
Kazi imemshinda aachie wengineAidha Sirro amewataka wote walioshiriki kufanya mauwaji ya watu hao 6 kujisali!isha mara moja.
Ndugu wanaojiita wafugaji ni wazurulaji in generalArdhi ni lazima ipimwe na kuwekewa mipaka kisheria.
Kutengwa maeneo maalum/ mapori ya wafugaji kuchunga.
Sheria zilizopo zitiliwe mkazo na kutekelezwa kwa ufasaha mfano ile ya kupiga marufuku kusafirisha mifugo kwa kuwatembeza.
Ziundwe kamati za ulinzi mpaka huko mashinani zitakazoshirikisha pande zote mbili husika (wafugaji na wakulima).
Elimu ya ufugaji wa kisasa na yenye tija.
Kuwepo na maridhiano baina ya pande mbili zenye kuhusika na migogoro.
Mamlaka ijitahidi kupeleka mahitaji muhimu ya kijamii kwenye maeneo yaliyoathirika na mgogoro.
Hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa waliohusika kuchochea na kutekeleza vitendo vya jinai,ili iwe fundisho kwa wengine.
Wafugaji wafuge kisasa.
Sasa una mifuko malisho unategemea kwa mwenzio.?
Mifuko ya plastiki?Wafugaji wafuge kisasa.
Sasa una mifuko malisho unategemea kwa mwenzio.?
Sera mbovu.Suluhu ya kudumu ya hii ishu ni nini?
Emu angalia mfano hapa kama si kiburi ni niniWafugaji wafuge kisasa.
Sasa una mifuko malisho unategemea kwa mwenzio.?
Mifugo ikikanyaga ardhi ni kama compactor ya barabara, hailimiki, inakuwa ngumu, ardhi inakuwa kama barabara hakuna kinachoota,Masai anaamini kuwa majani huota yenyewe na kwamba ni halali yake.
Lakini ukweli ni kwamba mkulima asipolima, majani hayaoti. Ukienda maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya malisho hayafai kwa sanabu hayalimwi na hivyo basi hakuna malisho.
Hili linafanya Masai amfuate mkulima karibu ili apate malisho na hatimaye vita.
Nimewahi kuwa mkulima Kiteto. Wamasai walikuwa wanaleta mifugo na kupiga kambi kuzunguka shamba. Usiku wa manani wanaingiza mifugo shambani. Kwa hiyo ilikuwa inatubidi kuamka kupambana maana hatukuwa tunaruhusu mifugo shambani kuwe au kusiwe na mazao.
Mifugo wanaharibu sana shamba linakosa rutuba.
Kwa hiyo kichwa ngumu ni wafugaji ambao huwafata wakulima
Ngojea Kwanza wawaangamize hao masai wa huko kilindi,Jeshi la polisi lifumuliwe lote liundwe upya.. Linahitaji total overhaul...
Suluhu ya kudumu ya hii ishu ni nini?
What would Magufuli do.Suluhu ya kudumu ya hii ishu ni nini?
Roho mbayaMifugo ikikanyaga ardhi ni kama compactor ya barabara, hailimiki, inakuwa ngumu, ardhi inakuwa kama barabara hakuna kinachoota,
Ndiyo maana wengine tukishavuna, tunaingiza tractor, kunalimwa ardhi imebinuliwa chini juu, juu chini, mchwa wanaozesha, wafugaji wanakuwa hawana chao.
Wao wanajidai matajiri. Wanunue maekari, wananunue matrekta, walime, wamwage mipunga, kisha walishe mbona rahisi! Ila hawafanyi hivyo Kwa sababu ya uchoyo!
Kuku wanaita "olmotoniii". Wanawake wanafuga kuku ila hawali kabisaWamasaai wote wapokwe ng'ombe, washurutishwe kufuga kuku πππ
Mifuko ya plastiki?
Ukisha sikia polisi wakiwataka wahalifu kujisalimisha mara moja ujue hawana mbinu ama uwezo wa kuwapata wahalifu haoAidha Sirro amewataka wote walioshiriki kufanya mauwaji ya watu hao 6 kujisali!isha mara moja.