johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Haaa๐๐๐๐Kuiba kura akidi ya askari huwa inatosha kimataifa
Kwa hiyo kwa wakazi million 60 gawanya kwa watu 2000 inamaanisha tuna Askari laki tatu...je Ni kweli?me Navyoona Askari polisi hawafiki laki mbili
Ok..kumbe Ni 30000... nilidhani Ni laki tatu...anyway kwa 30000 inawezekana ikawa Ni idadi yao60,000,000รท2,000= ?
Hahahaaaa....... hii hata aijipii atacheka aisee!Haaa๐๐๐๐
Thread Closed!!!
Anaelewa kwamba wenyekiti wa serikali ya mtaa wanachaguliwa na wananchi hawayeuliwi au nae kalewa mabomu?IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine....
Anaelewa kwamba wenyekiti wa serikali ya mtaa wanachaguliwa na wananchi hawayeuliwi au nae kalewa mabomu?
Mtu ameacha practise akaingia kupiga kwata lazima awe mweupe kichwani kitaaluma..kuna mahali nilisikia IGP Sirro amesomea sheria udsm. I hope that is not true, otherwise kwanini ni mweupe kisheria namna hii?
Yes, ndio idadiOk..kumbe Ni 30000... nilidhani Ni laki tatu...anyway kwa 30000 inawezekana ikawa Ni idadi yao
Kwani wenyeviti wa mitaa mwajiri wao ni mkurugenzi? Hao mwajiri wao ni wananchi maana wamechaguliwa kwa sanduku la kura hivyo mkurugenzi hana cha kumfanya mwenyekiti wa mtaa zaid ya kumchimba mkwara tu, labda angesema watendaji wa vijiji na kata.IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine..
Huyu ni mjinga mwingine baada ya Polepole, Kabudi and the like, hivi anajua hao wenyeviti wanapatikanaje! Hivi kama sisi tumeamua kuwa ma Mwenyekiti mzembe, yeye atatuondolea ili iweje?atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine.
Wote hao ni CCM, na CCM ndio wameshika hatamu.Huyu ni mjinga mwingine baada ya Polepole, Kabudi and the like, hivi anajua hao wenyeviti wanapatikanaje! Hivi kama sisi tumeamua kuwa ma Mwenyekiti mzembe, yeye atatuondolea ili iweje?