Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wabunge na madiwani wamewekwa na Wakurugenzi vipi wenyeviti?Labda alimaanisha mtendaji wa wa kata?
Wenyeviti tunawapigia Kura ..wanaondolewaje?Na mkurugenzi alieteuliwa?..
Sirro ana akili huyu??
Mpaka ma ExcessKuiba kura akidi ya askari huwa inatosha kimataifa
Ako..baligheherii...roho zinawauma sana chademaa...hamtakaa muongozee hii nchi mana mmejaa chukii chukii chukii mnooo...ww tutaendelea kukutana tu pale maisaka..kwaraaa..ila nchi hapana hatuwapiiiAwashitaki wana CCM wenzie? wayamalize kwenye vikao vya chama
Kweli mkuuu[emoji120][emoji120][emoji120]Kuiba kura akidi ya askari huwa inatosha kimataifa
Nchi unaigawa wewe? Nenda na wewe ukaongoze Zanzibar tuoneAko..baligheherii...roho zinawauma sana chademaa...hamtakaa muongozee hii nchi mana mmejaa chukii chukii chukii mnooo...ww tutaendelea kukutana tu pale maisaka..kwaraaa..ila nchi hapana hatuwapiii
IGP Sirro yupo sawa 100% , hakuna Mwenyekiti wa kijiji, Diwani wala mbunge aliyeingia ofisini bila kubebwa na Mkurugenzi wa eneo husika au mmesahau mwendazake alivyowahi kutoa tahadhali hiyo?Huyu ni mjinga mwingine baada ya Polepole, Kabudi and the like, hivi anajua hao wenyeviti wanapatikanaje! Hivi kama sisi tumeamua kuwa ma Mwenyekiti mzembe, yeye atatuondolea ili iweje?
Hata akienda kuwashitaki kwa hao wakurugenzi wataweza kuchukua hata zozote dhidi yao?IGP Sirro yupo sawa 100% , hakuna Mwenyekiti wa kijiji, Diwani wala mbunge aliyeingia ofisini bila kubebwa na Mkurugenzi wa eneo husika au mmesahau mwendazake alivyowahi kutoa tahadhali hiyo?
Anajua walivyopatikana kwa hiyo anajua pia jinsi ya kuwatoa. Kama walupatukana kiharamu watatolewa kiharamu na kinyume chake.Kwani wenyeviti ni wateuliwa? Si walipigiwa kura?
Nakubaliana na IGP Sirro.IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine.
Sirro amesema wenyeviti wa serikali za mitaa wanapaswa kusimamia ulinzi katika maeneo yao na kwamba hapa Tanzania askari mmoja anahudumia watu 2000 jambo ambalo ni gumu.
Kimataifa askari mmoja anapaswa kuhudumia watu 450 amesema Sirro.
Source : ITV habari
Nawasalimu kwa jina la JMT!