Nancyjoa13
Senior Member
- May 18, 2018
- 167
- 97
Siku zote polisi huwa wakweliMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia nafasi zao ikiwemo masuala ya usalama barabarani, kwamba Jeshi hilo lipo kwa ajili ya kusimamia sheria na sio vinginevyo.
Acha utoto wewe hao walijaa magerezani 80% ni vijana wanajifanya wapinzaniSijui kama anaelewa maana ya hiyo kauli yake?
Wapinzani siku zote huwa hawavunji sheria, bali wakifanya lolote lisilowapendeza CCM jeshi la polisi hutumika kuwakamata wapinzani, halafu wanasema wamewakamata kwa kuvunja sheria.
Hivyo ingependeza zaidi aseme jeshi la polisi halitakubali kutumiwa na CCM kuonea wapinzani, angeeleweka vizuri zaidi.
Ndio ni fine na inajulikana kidunia ukifanya makosa unapigwa fine very clearSalaaam zimfikie Simbachawene,usalama barabarani ni chanzo cha mapato kwenye Utawala wa Jiwe.
Hilo pic kwenye avatar noma sanaMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia nafasi zao ikiwemo masuala ya usalama barabarani, kwamba Jeshi hilo lipo kwa ajili ya kusimamia sheria na sio vinginevyo.
wanavunja sana tuuSijui kama anaelewa maana ya hiyo kauli yake?
Wapinzani siku zote huwa hawavunji sheria, bali wakifanya lolote lisilowapendeza CCM jeshi la polisi hutumika kuwakamata wapinzani, halafu wanasema wamewakamata kwa kuvunja sheria.
Hivyo ingependeza zaidi aseme jeshi la polisi halitakubali kutumiwa na CCM kuonea wapinzani, angeeleweka vizuri zaidi.
Kwi Kwi KwiMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia nafasi zao ikiwemo masuala ya usalama barabarani, kwamba Jeshi hilo lipo kwa ajili ya kusimamia sheria na sio vinginevyo.
Ni kweli, hata kwenye sakata la MO jiwe aliwalaumu bure tuSiku zote polisi huwa wakweli
Mseminalist, hata sheria kandamizi watu wazitii? Sheria onevu? Bad law is no law at all! bad Law Is Not Only Very Bad News for People, It's a Very Bad Idea.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao
Amewaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia nafasi zao ikiwemo masuala ya usalama barabarani, kwamba Jeshi hilo lipo kwa ajili ya kusimamia sheria na sio vinginevyo.
Kila mtawala siku hizi ni mwanasiasa. Huoni wanahotubia mikutano ya hadhara bila kujali maambukizi ya Korona? Itisha mkutano wewe usiyekuwa mtawala uone la kuona. Utaambiwa unasababisha maambukizi ya Korona.Kesho lililovaa koti là kisiasa