IGP Sirro: Polisi hawatawaingilia wanasiasa watakaofuata sheria

Huyu akifika Ocktober ni bahati.
 
weee zero wee wacha porojo wewe ni kada wa ccm na upo hapo kwa ajili ya kuuilinda ccm basi na tumbo lako
 
Kulia kwake ni bendera ya CCM?
 
Mfumo wa kijamaa polisi ni Mali ya chama,Malawi kila taasisi ipo huru huwezi kuta mwenyekiti wa chama anatoa maagizo ya kuvunja katiba ya nchi kuviamuru vyombo Kama bunge, polisi,au mahakama.Kule Hakuna aliyejuu ya sheria.Thus wanarudia uchaguzi ili kumpata mshindi wa halali na Wala usikii vurugu sijui mpinzani kabambikwa kesi ili hakimu apate teuzi ya ujaji ashibishe tumbo lake,Wala kapigwa risasi ili Askari apande cheo ashibishe tumbo lake.Ni nchi ndogo Kama Liberia lakini Wana mifumo ya haki wametuzidi kwenye demokrasia, viongozi wanaongoza kwa nguvu za hoja na ushawishi wa kiushindani na sio kwa kubebwa na polisi.
 

Mimi nasubiri nione kama kweli yule bwana akizidisha muda wa mkutano wa kampeni kama watamwambia asitishe.
 
Labda kasema hivyo lakini sio Kwa muandiko uliozoeleka
 
wewe wacha porojo polisi ni tawi la ccm period.
 
Tumekusikia
 
Uyu mzee nae anatumika tu kisiasa
Dawa yao ni vyama vya upinzani kuwafungulia kesi kwenye mahakama za uhalifu wa kimataifa The Hague kama kenya walivyofanya mpaka sasa hakuna uonevu kwa wapinzani kama ilivyokuwa kwa Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…