Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Jumatatu taarifa ya habari ITV saa mbili usiku ulionekana ukitushawishi wananchi tupate mafunzo kwenye chuo nilichokitaja kinachotoa mafunzo ya uokoaji wa raia majini, pamoja na mafunzo ulitueleza kuwa ada ni nafuu.
Pamoja na ada kuwa nafuu bado ni vizuri utueleze kama sheria za nchi zinaruhusu jeshi la polisi kufanya biashara juu ya usalama wa raia.
Ni wazi watakaopata mafunzo ujuzi watautumia kuokoa wananchi wenzao bila tozo, jeshi la polisi kutoza ada linataka na wahitimu nao wawatoze ada watakaowaoko.
Ninakumbuka miaka iliyopita tulitangaziwa kuwa serikali haitafanya biashara.