Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Kama serekali haifanyi biashara Mbona huwa wanauza magari machakavu ya serekali kwa hohao raiaJibu Swali, Serikali Inafanya Biashara?
Serikali Daima Inatoa Huduma Kwa Raia Wake Siyo Biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama serekali haifanyi biashara Mbona huwa wanauza magari machakavu ya serekali kwa hohao raiaJibu Swali, Serikali Inafanya Biashara?
Serikali Daima Inatoa Huduma Kwa Raia Wake Siyo Biashara
Shauri yako sikuhizi mambo ambayo hayakuwa makosa ni makosa na huenda hayana dhamana!Haliwezi kuwa kosa kwa sababu ni wazi kuwa umri mkubwa unakuwa na changamoto nyingi. Inawezekana IGP naye ameelemewa na majukumu na kwa sababu ya umri tunamlaumu kwa maoni/matendo yake bila kujua sababu
Hata Trump na Biden kuna watu wanashuku uwezo wao wa kuongoza kutokana na umri wao mkubwa
Jumatatu taarifa ya habari ITV saa mbili usiku ulionekana ukitushawishi wananchi tupate mafunzo kwenye chuo nilichokitaja kinachotoa mafunzo ya uokoaji wa raia majini, pamoja na mafunzo ulitueleza kuwa ada ni nafuu.
Pamoja na ada kuwa nafuu bado ni vizuri utueleze kama sheria za nchi zinaruhusu jeshi la polisi kufanya biashara juu ya usalama wa raia.
Ni wazi watakaopata mafunzo ujuzi watautumia kuokoa wananchi wenzao bila tozo, jeshi la polisi kutoza ada linataka na wahitimu nao wawatoze ada watakaowaoko.
Ninakumbuka miaka iliyopita tulitangaziwa kuwa serikali haitafanya biashara.
Chuo hicho ni cha Polisi lakini hapohapo serikali haitakiwi kufanya biashara, kila kitu kitakachotumika na chuo ikiwa pamoja na mishahara imelipiwa au imenunuliwa na wananchi na hatuhitaji tupate faida ya pesa, hivyo faida ya nini?
Hebu kuwa mstaarabu, eleza biashara ni nini, nijuavyo vyuo vinavyotoza ada ni biashara, wewe unajua ile yako ya unga ndiyo biashara, huo ni uhalifu.Hujui maana ya biashara mkuu umekurupuka
Uelewa wako ni mdogo sana kuhusu biashara embu jielimishe kupitia hata google. umetoa post ya kipuuziHebu kuwa mstaarabu, eleza biashara ni nini, nijuavyo vyuo vinavyotoza ada ni biashara, wewe unajua ile yako ya unga ndiyo biashara, huo ni uhalifu.
Hizi faini sio biashara ?Jumatatu taarifa ya habari ITV saa mbili usiku ulionekana ukitushawishi wananchi tupate mafunzo kwenye chuo nilichokitaja kinachotoa mafunzo ya uokoaji wa raia majini, pamoja na mafunzo ulitueleza kuwa ada ni nafuu.
Pamoja na ada kuwa nafuu bado ni vizuri utueleze kama sheria za nchi zinaruhusu jeshi la polisi kufanya biashara juu ya usalama wa raia.
Ni wazi watakaopata mafunzo ujuzi watautumia kuokoa wananchi wenzao bila tozo, jeshi la polisi kutoza ada linataka na wahitimu nao wawatoze ada watakaowaoko.
Ninakumbuka miaka iliyopita tulitangaziwa kuwa serikali haitafanya biashara.
Naona uko nje ya mada, lala salama.Hizi faini sio biashara ?
Chuo ni cha police (serekali), sasa ulitaka nani akitangaze...Mbowe!Kazi u IGP amemshinda sasa mpiga debe wa chuo....si aombe apumzike?? Mimi amenitoka hutu z.e.r.o basi tuu weledi hakuna tena wala moral authority hakuna
KPI IGP kutangaza chuo cha serikali....oohh sawa ....asubiri wanafunzi.....Prof Ndalichako nae apige promo ma vyuo yote nchini basi sawa...Chuo ni cha police (serekali), sasa ulitaka nani akitangaze...Mbowe!
Kama Mbowe alikupa talaka huo ni ugomvi wenu wenyewe usituhisishe sisi.Chuo ni cha police (serekali), sasa ulitaka nani akitangaze...Mbowe!
Nazani hata Udsm, udom, Mzumbe, etc vyote hivi ni Mali ya umma na pesa na vingi vina gharamiwa na wananchi, sasa kwann wanalipa ada pamoja na bodi ya mikopo wana kopesha na sio kuwapa pesa wanafunzi bila masharti...Chuo hicho ni cha Polisi lakini hapohapo serikali haitakiwi kufanya biashara, kila kitu kitakachotumika na chuo ikiwa pamoja na mishahara imelipiwa au imenunuliwa na wananchi na hatuhitaji tupate faida ya pesa, hivyo faida ya nini?