Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hivi polisi huwa hawastaafu? Huyu babu ni wakitambo snKazi u IGP smemshinda sasa mpiga debe wa chuo....si aombe apumzike?? Mimi amenitoka hutu z.e.r.o basi tuu weledi hakuna tena wala moral authority hakuna
Wanatakiwa wapewe TIN no na TRA zao binafsiHivi matrafiki barabarani hawafanyi biashara?
Tunasubiri tuletewe IGP kutoka Zanzibar.Hivi polisi huwa hawastaafu? huyu babu ni wakitambo sn
Sasahivi mpaka madereva wataletwa wazanzibarTunasubiri tuletewe IGP kutoka Zanzibar.
Sijaambiwa ila Sirro alisema ada yake itakuwa ndogo.Umeambiwa Ada yake ni ndogo sana!
Chuo hicho ni cha Polisi lakini hapohapo serikali haitakiwi kufanya biashara, kila kitu kitakachotumika na chuo ikiwa pamoja na mishahara imelipiwa au imenunuliwa na wananchi na hatuhitaji tupate faida ya pesa, hivyo faida ya nini?Kazi u IGP smemshinda sasa mpiga debe wa chuo....si aombe apumzike?? Mimi amenitoka hutu z.e.r.o basi tuu weledi hakuna tena wala moral authority hakuna
Kwani Siro anamiaka mingapi? Inawezekana tunamwonea tu tatizo lake likawa ni umriJumatatu taarifa ya habari ITV saa mbili usiku ulionekana ukitushawishi wananchi tupate mafunzo kwenye chuo nilichokitaja kinachotoa mafunzo ya uokoaji wa raia majini, pamoja na mafunzo ulitueleza kuwa ada ni nafuu.
Pamoja na ada kuwa nafuu bado ni vizuri utueleze kama sheria za nchi zinaruhusu jeshi la polisi kufanya biashara juu ya usalama wa raia.
Ni wazi watakaopata mafunzo ujuzi watautumia kuokoa wananchi wenzao bila tozo, jeshi la polisi kutoza ada linataka na wahitimu nao wawatoze ada watakaowaoko.
Ninakumbuka miaka iliyopita tulitangaziwa kuwa serikali haitafanya biashara.
Haudhani kuwa linaweza kuwa kosa la jinai kuuliza umri wa IGP ambaye ameteuliwa na Rais.Kwani Siro anamiaka mingapi? Inawezekana tunamwonea tu tatizo lake likawa ni umri
Haliwezi kuwa kosa kwa sababu ni wazi kuwa umri mkubwa unakuwa na changamoto nyingi.Haudhani kuwa linaweza kuwa kosa la jinai kuuliza umri wa IGP ambaye ameteuliwa na Rais.
Ndio uelewe hivyo!Sijaambiwa ila Sirro alisema ada yake itakuwa ndogo.
Jibu Swali, Serikali Inafanya Biashara?Umeambiwa Ada yake ni ndogo sana!
Haa Bagusiro( Kondoo Wa Kafara Tu)Tunasubiri tuletewe IGP kutoka Zanzibar.
Kwani hapo Ufipa hayo masweta mnapewa bure?Jibu Swali, Serikali Inafanya Biashara?
Serikali Daima Inatoa Huduma Kwa Raia Wake Siyo Biashara
Ufipa Ndiyo Wapi?Kwani hapo Ufipa hayo masweta mnapewa bure?
Cost sharing siyo biashara bwashee!