IGP Sirro toa ufafanuzi kuhusu chuo cha Usalama Majini

Jibu Swali, Serikali Inafanya Biashara?

Serikali Daima Inatoa Huduma Kwa Raia Wake Siyo Biashara
Kama serekali haifanyi biashara Mbona huwa wanauza magari machakavu ya serekali kwa hohao raia
 
Mpaka Leo hii hatuna professional divers na vifaa vya kisasa vya uokoaji katika majanga ya maji.

Dawa kubwa ya kujihami na majanga ya ajali za majini ni kuwapa elimu ya uokoaji watu wanaoishi mazingira karibu fukwe za ziwa/bahari, wavuvi na watumiaji wa vyombo majini.
 
Shauri yako sikuhizi mambo ambayo hayakuwa makosa ni makosa na huenda hayana dhamana!
 
Hujui maana ya biashara mkuu umekurupuka
 
Chuo hicho ni cha Polisi lakini hapohapo serikali haitakiwi kufanya biashara, kila kitu kitakachotumika na chuo ikiwa pamoja na mishahara imelipiwa au imenunuliwa na wananchi na hatuhitaji tupate faida ya pesa, hivyo faida ya nini?

wamekwambia hicho chuo wakitoa hayo mafunzo hiyo ada ikilipwa wanapata faida?
VETA, NIT, UDSM etc ni vyuo vya serikali wafanyakazi wanalipwa na serikali ila vinatoza ada kwenye kozi wanazofundisa
Je navyo havifanyi biashara?
 
Hujui maana ya biashara mkuu umekurupuka
Hebu kuwa mstaarabu, eleza biashara ni nini, nijuavyo vyuo vinavyotoza ada ni biashara, wewe unajua ile yako ya unga ndiyo biashara, huo ni uhalifu.
 
Hebu kuwa mstaarabu, eleza biashara ni nini, nijuavyo vyuo vinavyotoza ada ni biashara, wewe unajua ile yako ya unga ndiyo biashara, huo ni uhalifu.
Uelewa wako ni mdogo sana kuhusu biashara embu jielimishe kupitia hata google. umetoa post ya kipuuzi
 
Hizi faini sio biashara ?
 
Kazi u IGP amemshinda sasa mpiga debe wa chuo....si aombe apumzike?? Mimi amenitoka hutu z.e.r.o basi tuu weledi hakuna tena wala moral authority hakuna
Chuo ni cha police (serekali), sasa ulitaka nani akitangaze...Mbowe!
 
Chuo ni cha police (serekali), sasa ulitaka nani akitangaze...Mbowe!
KPI IGP kutangaza chuo cha serikali....oohh sawa ....asubiri wanafunzi.....Prof Ndalichako nae apige promo ma vyuo yote nchini basi sawa...
 
Chuo hicho ni cha Polisi lakini hapohapo serikali haitakiwi kufanya biashara, kila kitu kitakachotumika na chuo ikiwa pamoja na mishahara imelipiwa au imenunuliwa na wananchi na hatuhitaji tupate faida ya pesa, hivyo faida ya nini?
Nazani hata Udsm, udom, Mzumbe, etc vyote hivi ni Mali ya umma na pesa na vingi vina gharamiwa na wananchi, sasa kwann wanalipa ada pamoja na bodi ya mikopo wana kopesha na sio kuwapa pesa wanafunzi bila masharti...

Ikiwezekana kila mwananchi alipwe pesa ya kujikimu na maisha, nchi ni yetu na pesa ni zetu tupewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…