Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?
Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri?
Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu pekee unachoweza kujifunza kule ni namna Serikali inavyoua wapinzani wa PK ndani na nje ya nchi. Ni upuuzi kwenda kule 'kujifunza'.