Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeanza kumuundia zengwe kama mlivyofanya kwa Kalemani. Poa. Na akitolewa muwekeni Prof. Assad awe IGP!Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?
Kama polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri?
Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu pekee unachoweza kujifunza kule ni namna serikali inavyoua wapinzani wa PK ndani na nje ya nchi. Ni upuuzi kwenda kule 'kujifunza'.
Kajifunza huko Intarahamwe Rwanda anayaleta TzKulikuwa na haja gani ya kusema kuwa polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?
Kama polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri?
Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu pekee unachoweza kujifunza kule ni namna serikali inavyoua wapinzani wa PK ndani na nje ya nchi. Ni upuuzi kwenda kule 'kujifunza'.
Anataka kumwagisha damu watu kwanza ndio aondoke. Huwezi jua maaganoKwakweli alikofikia inatosha apumzike apishe wengine
Watu wenye viwango duni namna hii vya kufikiri na kutafakari sasa hivi wengi huko juu.Halafu anaongea bila aibu kuwa amejifunza hayo mambo nchini Rwanda!😁
Hakuna zengwe wala nini, amepwaya sana.Mmeanza kumuundia zengwe kama mlivyofanya kwa Kalemani. Poa. Na akitolewa muwekeni Prof. Assad awe IGP!
Kawaida ubaguzi haina itikadi,mwisho huwa wabaguzi hujibagua wenyewe.Sasa hivi ni vituko kabisa, polisi wenye akili hawawezi kufanya uchunguzi kijinga kiasi hiki.
Lengo la kauli ya Sirro ni kuwatisha na kuwa harass waislamu
Mkereketwa wa chama kile! mmeanza kuonja joto ya jiwe, iko siku mtajua umuhimu wa katiba mpyaMmeanza kumuundia zengwe kama mlivyofanya kwa Kalemani. Poa. Na akitolewa muwekeni Prof. Assad awe IGP!
Nani hajawahi kupwaya nchi hii? Nipe mmoja tu!Hakuna zengwe wala nini, amepwaya sana.
Mimi ni mjuvi sana kwenye eneo hilo. Katiba mpya bila utashi ni makaratasi tu. Marekani ina Katiba yenye AYA (PARAGRAPHS) 14 tu. Unafikiri wanayoyafanya leo ni kutokana na hizo aya au utashi toka rohoni? Waingereza hata kuandika hawajaiandika hiyo Katiba yao. Unafikiri kwanini mambo yao yanaenda? Think twice Dogo!!!!Mkereketwa wa chama kile! mmeanza kuonja joto ya jiwe, iko siku mtajua umuhimu wa katiba mpya
Kisa Mbowe kupatikana na tuhuma za ugaidi?,poleni sanaKulikuwa na haja gani ya kusema kuwa polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?
Kama polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri?
Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu pekee unachoweza kujifunza kule ni namna serikali inavyoua wapinzani wa PK ndani na nje ya nchi. Ni upuuzi kwenda kule 'kujifunza'.
Tatizo umekariri nani amesema katiba mpya ni karatasi? Au maandishi ?Nilimaanisha Katiba mpya ya maridhiano na makubaliano, namna ya kuendesha serikari bunge na mahakama hata isipoandikwaMimi ni mjuvi sana kwenye eneo hilo. Katiba mpya bila utashi ni makaratasi tu. Marekani ina Katiba yenye AYA (PARAGRAPHS) 14 tu. Unafikiri wanayoyafanya leo ni kutokana na hizo aya au utashi toka rohoni? Waingereza hata kuandika hawajaiandika hiyo Katiba yao. Unafikiri kwanini mambo yao yanaenda? Think twice Dogo!!!!
Hapo ndio unaonesha imbecility yako kuhusu Katiba. Katiba governs the total ways of life of a nation. Wewe eti namna ya kuendesha Serikali, Bunge na Mahakama! Stupid!Tatizo umekariri nani amesema katiba mpya ni karatasi? Au maandishi ?Nilimaanisha Katiba mpya ya maridhiano na makubaliano, namna ya kuendesha serikari bunge na mahakama hata isipoandikwa
Sirro kishakwisha kichwani , binadamu huchanua kama maua na kisha hunyaukaKulikuwa na haja gani ya kusema kuwa polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?
Kama polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri?
Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu pekee unachoweza kujifunza kule ni namna serikali inavyoua wapinzani wa PK ndani na nje ya nchi. Ni upuuzi kwenda kule 'kujifunza'.
Ndo mmeanza kumroga Kamanda Siro kama mlivyofanya kwa Kalemeni. Sageni kunguni mama atamwaga maji ya moto sasa hiviKulikuwa na haja gani ya kusema kuwa polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?
Kama polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri?
Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu pekee unachoweza kujifunza kule ni namna serikali inavyoua wapinzani wa PK ndani na nje ya nchi. Ni upuuzi kwenda kule 'kujifunza'.
He's been compromised already!Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?