IGP Sirro viatu vimekupwaya mno, omba kupumzika

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2020
Posts
4,437
Reaction score
13,836
Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?

Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri?

Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu pekee unachoweza kujifunza kule ni namna Serikali inavyoua wapinzani wa PK ndani na nje ya nchi. Ni upuuzi kwenda kule 'kujifunza'.
 
Ndio viwango ya utekelezaji wa mambo muhimu, kama sii kupigia chapuo mawazo ya kundi fulani.
 
Halafu anaongea bila aibu kuwa amejifunza hayo mambo nchini Rwanda!😁
 
Waziri wa mambo ya ndani kivuli wa Chadema anafaa kuwa IGP, Na tunaamini atakuwa mzuri sana.
 
He should go, it's time.
 
Angeombwa kupumzika tu ......asubirie pesa za short time guest zake zilizotapakaa nchini....pesa za wazinzi duuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…