IGP Sirro viatu vimekupwaya mno, omba kupumzika

Mmeanza kumuundia zengwe kama mlivyofanya kwa Kalemani. Poa. Na akitolewa muwekeni Prof. Assad awe IGP!
 
Kajifunza huko Intarahamwe Rwanda anayaleta Tz
 
Halafu anaongea bila aibu kuwa amejifunza hayo mambo nchini Rwanda!😁
Watu wenye viwango duni namna hii vya kufikiri na kutafakari sasa hivi wengi huko juu.
Taifa letu liko pabaya sana limejaa wababaishaji kwenye vitengo muhimu.
Yaonekana wazi kuwa mfumo wa vetting ulishajifia na sasa nchi yafwa taratibu.
Kiazi Sirro ataleta viazi vingine wengi tuu sehemu mbalimbali.
Viazi hao huko waliko kila mmoja analeta maviazi mengine............ Mungu tuu ndio atatuokoa. AMEN
 
Mmeanza kumuundia zengwe kama mlivyofanya kwa Kalemani. Poa. Na akitolewa muwekeni Prof. Assad awe IGP!
Mkereketwa wa chama kile! mmeanza kuonja joto ya jiwe, iko siku mtajua umuhimu wa katiba mpya
 
Mkereketwa wa chama kile! mmeanza kuonja joto ya jiwe, iko siku mtajua umuhimu wa katiba mpya
Mimi ni mjuvi sana kwenye eneo hilo. Katiba mpya bila utashi ni makaratasi tu. Marekani ina Katiba yenye AYA (PARAGRAPHS) 14 tu. Unafikiri wanayoyafanya leo ni kutokana na hizo aya au utashi toka rohoni? Waingereza hata kuandika hawajaiandika hiyo Katiba yao. Unafikiri kwanini mambo yao yanaenda? Think twice Dogo!!!!
 
Kisa Mbowe kupatikana na tuhuma za ugaidi?,poleni sana
 
Tatizo umekariri nani amesema katiba mpya ni karatasi? Au maandishi ?Nilimaanisha Katiba mpya ya maridhiano na makubaliano, namna ya kuendesha serikari bunge na mahakama hata isipoandikwa
 
Tatizo umekariri nani amesema katiba mpya ni karatasi? Au maandishi ?Nilimaanisha Katiba mpya ya maridhiano na makubaliano, namna ya kuendesha serikari bunge na mahakama hata isipoandikwa
Hapo ndio unaonesha imbecility yako kuhusu Katiba. Katiba governs the total ways of life of a nation. Wewe eti namna ya kuendesha Serikali, Bunge na Mahakama! Stupid!
 
Sirro kishakwisha kichwani , binadamu huchanua kama maua na kisha hunyauka
 
Ndo mmeanza kumroga Kamanda Siro kama mlivyofanya kwa Kalemeni. Sageni kunguni mama atamwaga maji ya moto sasa hivi
 
He's been compromised already!
 
Lengo la kauli ya Sirro ni kuwatisha na kuwa harass waislamu

na hiki ndio alikisema James Mbatia last week, kwamba wao polisi ndio wachochezi na magaidi

kuwa harass Waislamu au kundi la dini yeyote ile ni kuwajaza chuki na ndio uchochezi wenyewe huo
 
Sirro yupo imara
Watanzania vimajungu vyenu havina maana kauli ya siro kusema atakagua nyumba za ibada ndio mnaogopa!
 
Siro amepwaya Sana aisee, yaani polis wanaongoza kuvunja sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…