Uchaguzi 2020 IGP Sirro wakanye polisi wasiingize kwenye mitego ya wanasiasa

Naona kila mwana CCM analikwepa suala la FAO LA kujitoa kama vile ni Jambo dogo. Bwana Humprey Polepole ameongea na waandishi wa habari Mara 2..hii hoja ameiruka.

Mtu amefukuzwa kazi au mkataba umeisha, NSSF (Fao la kukosa Ajira) wanasema ulipwe 33.3 % ya Mshahara kwa miezi 6...baada ya hapo kaa miezi 18 ...ndio ulipwe.

Sheria mpya ya 2018, Raisi Magufuli alisaini, lakini baadae akaja kufuta kikokotoo cha wastaafu pekee...Sasa wafanyakazi wanaofukuzwa kazi sekta binafsi kabla ya umri wa kustaafu wanataabika. Wenye kuona hili wamshauri Magufuli haraka sana na arekebishe maana Katiba imempa mamlaka.

Raisi Magufuli, rudisha FAO LA kujitoaa. watu walipwe pesa zao kwa mkupuo bila masharti ... Hiki ni kipindi cha Kampeni...Kura za Wafanyakazi sekta binafsi ni mamilioni...

Ndugu Bashiru na Pole pole...FAO LA Kujitoa..
 
Kuna chama kiliomba kucheza rege na polisi kikakataliwa?
 
Hahaha Polepole na Bashiru ni viherehere tu hoja hujibiwa na mgombea.

Katibu na msemaji wa chama sio wasemaji wa mgombea hata kama ni mgonjwa au hawezi kuongea.

Mgombea wa ccm hawezi kuongelea issues, kazoea kufoka na kutukana.
 
Hili jeshi lapaswa lifanyiwe marekebisho makubwa sana, pia viongozi wote wanaotoa amri lazima wawe wamepitia shule kwanza, kwa mfano OCD lazima aanzie na elimu ya diploma, RPC lazima aanzie na degree, pia IGP angalau masters.hili jeshi linapaswa kuwa na watu wanaotumia reasoning sana kabla ya kutoa order kwa watu was chini yao
 
Huyo policcm amesahau kuwa yule kamanda aliyetumbuliwa Arusha sasa yupo wapi ee...!?
Hao mapoccm zao zinahesabika!
 
Naona kila mwana CCM analikwepa suala la FAO LA kujitoa kama vile ni Jambo dogo. Bwana Humprey Polepole ameongea na waandishi wa habari Mara 2..hii hoja ameiruka.

Mtu amefukuzwa kazi au mkataba umeisha, NSSF (Fao la kukosa Ajira) wanasema ulipwe 33.3 % ya Mshahara kwa miezi 6...baada ya hapo kaa miezi 18 ...ndio ulipwe.

Sheria mpya ya 2018, Raisi Magufuli alisaini, lakini baadae akaja kufuta kikokotoo cha wastaafu pekee...Sasa wafanyakazi wanaofukuzwa kazi sekta binafsi kabla ya umri wa kustaafu wanataabika. Wenye kuona hili wamshauri Magufuli haraka sana na arekebishe maana Katiba imempa mamlaka.

Raisi Magufuli, rudisha FAO LA kujitoaa. watu walipwe pesa zao kwa mkupuo bila masharti ... Hiki ni kipindi cha Kampeni...Kura za Wafanyakazi sekta binafsi ni mamilioni...

Ndugu Bashiru na Pole pole...FAO LA Kujitoa..
Usilie Mkuu
Raisi Lissu anaenda kufuta upuuzi wote huo
 
FB_IMG_1601637063335.jpg
 
Hapa haitaji uwe na degree kugundua kua wanakosea lakin bado unakuta kuna wajinga wanaendelea kukomaa kua haina tatzo.
 
Back
Top Bottom