Uchaguzi 2020 IGP Sirro wakanye polisi wasiingize kwenye mitego ya wanasiasa

Uchaguzi 2020 IGP Sirro wakanye polisi wasiingize kwenye mitego ya wanasiasa

Naona kila mwana CCM analikwepa suala la FAO LA kujitoa kama vile ni Jambo dogo. Bwana Humprey Polepole ameongea na waandishi wa habari Mara 2..hii hoja ameiruka.

Mtu amefukuzwa kazi au mkataba umeisha, NSSF (Fao la kukosa Ajira) wanasema ulipwe 33.3 % ya Mshahara kwa miezi 6...baada ya hapo kaa miezi 18 ...ndio ulipwe.

Sheria mpya ya 2018, Raisi Magufuli alisaini, lakini baadae akaja kufuta kikokotoo cha wastaafu pekee...Sasa wafanyakazi wanaofukuzwa kazi sekta binafsi kabla ya umri wa kustaafu wanataabika. Wenye kuona hili wamshauri Magufuli haraka sana na arekebishe maana Katiba imempa mamlaka.

Raisi Magufuli, rudisha FAO LA kujitoaa. watu walipwe pesa zao kwa mkupuo bila masharti ... Hiki ni kipindi cha Kampeni...Kura za Wafanyakazi sekta binafsi ni mamilioni...

Ndugu Bashiru na Pole pole...FAO LA Kujitoa..

Ccm hawawezi kurekebisha sheria ya fao la kujitoa maana wamechota hela zote kwenye hiyo mifuko kuingiza kwenye miradi. Wabunge wa ccm walipitisha hiyo sheria ili kusaka sifa za kisiasa, lakini hawakuangalia madhara kwa walengwa wa hilo fao la kujitoa, kwakuwa wao wakimaliza ubunge wanavuta chao chote.
 
Hili jeshi lapaswa lifanyiwe marekebisho makubwa sana, pia viongozi wote wanaotoa amri lazima wawe wamepitia shule kwanza, kwa mfano OCD lazima aanzie na elimu ya diploma, RPC lazima aanzie na degree, pia IGP angalau masters.hili jeshi linapaswa kuwa na watu wanaotumia reasoning sana kabla ya kutoa order kwa watu was chini yao


Ndugu yangu wala hivyo vyeti havisaidii kama mtu hatumii common sense. Wewe fikiri nchi hii kuna watu wana PhD na hatimaye kuwa ma-Profesa. Kitendo tu cha kupewa madaraka ya kisiasa wametukana taaluma zao na kuziita za "jalalani". Inasikitisha sana. Uzingatie pia kuwa IGP tuliyenaye sasa ni mwanasheria kitaaluma.

Nadhani makosa yanayotokea yanahitaji reasoning ya kawaida na uhalisia wa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi na sio viwango vya elimu ya wahusika.
 
Kuna siku mtasema polisi asiingie kumbi za mziki zinazomilikiwa na chama cha mapinduzi.




MAGUFULI4LIFE.
 
Back
Top Bottom