Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Hahaha Polepole na Bashiru ni viherehere tu hoja hujibiwa na mgombea.Naona kila mwana CCM analikwepa suala la FAO LA kujitoa kama vile ni Jambo dogo. Bwana Humprey Polepole ameongea na waandishi wa habari Mara 2..hii hoja ameiruka.
Mtu amefukuzwa kazi au mkataba umeisha, NSSF (Fao la kukosa Ajira) wanasema ulipwe 33.3 % ya Mshahara kwa miezi 6...baada ya hapo kaa miezi 18 ...ndio ulipwe.
Sheria mpya ya 2018, Raisi Magufuli alisaini, lakini baadae akaja kufuta kikokotoo cha wastaafu pekee...Sasa wafanyakazi wanaofukuzwa kazi sekta binafsi kabla ya umri wa kustaafu wanataabika. Wenye kuona hili wamshauri Magufuli haraka sana na arekebishe maana Katiba imempa mamlaka.
Raisi Magufuli, rudisha FAO LA kujitoaa. watu walipwe pesa zao kwa mkupuo bila masharti ... Hiki ni kipindi cha Kampeni...Kura za Wafanyakazi sekta binafsi ni mamilioni...
Ndugu Bashiru na Pole pole...FAO LA Kujitoa..
Mwambieni na tundu lissu acheze na kurukaruka nao, yy sianawatukana?Hivi kwa mtazamo wako hawa polisi kwa mambo haya wanayoyafanya utegemee kesho watende haki kwa vyama viingine?
IGP Siro wakanye polisi wako wasiingize kwenye mitego ya wanasiasa.
View attachment 1587997
Acha utahira wewe kwn polis hawaruhusiwe kufurahia muziki?Hivi kwa mtazamo wako hawa polisi kwa mambo haya wanayoyafanya utegemee kesho watende haki kwa vyama viingine?
IGP Siro wakanye polisi wako wasiingize kwenye mitego ya wanasiasa.
View attachment 1587997
lini mkuu ? watawapendaje nyia cdm wakati mnawatukana?Maadili ya jeshi la polisi yanaruhusu jeshi kuwa upande wowote wa chama cha siasa? Hapo ndipo wanapokosea sana hawa watu ipo siku itawagharimu.
Wakafurahie mziki kwenye madepo yao lakini sio kwenye mikutano ya wanasiasa!Acha utahira wewe kwn polis hawaruhusiwe kufurahia muziki?
Pls Think twice before you lip.Kuna chama kiliomba kucheza rege na polisi kikakataliwa?
Mkurugenzi wa NEC anatizama pembeni. Haya hayaoni kabisa.Hivi kwa mtazamo wako hawa polisi kwa mambo haya wanayoyafanya utegemee kesho watende haki kwa vyama viingine?
IGP Siro wakanye polisi wako wasiingize kwenye mitego ya wanasiasa.
View attachment 1587997
Usilie MkuuNaona kila mwana CCM analikwepa suala la FAO LA kujitoa kama vile ni Jambo dogo. Bwana Humprey Polepole ameongea na waandishi wa habari Mara 2..hii hoja ameiruka.
Mtu amefukuzwa kazi au mkataba umeisha, NSSF (Fao la kukosa Ajira) wanasema ulipwe 33.3 % ya Mshahara kwa miezi 6...baada ya hapo kaa miezi 18 ...ndio ulipwe.
Sheria mpya ya 2018, Raisi Magufuli alisaini, lakini baadae akaja kufuta kikokotoo cha wastaafu pekee...Sasa wafanyakazi wanaofukuzwa kazi sekta binafsi kabla ya umri wa kustaafu wanataabika. Wenye kuona hili wamshauri Magufuli haraka sana na arekebishe maana Katiba imempa mamlaka.
Raisi Magufuli, rudisha FAO LA kujitoaa. watu walipwe pesa zao kwa mkupuo bila masharti ... Hiki ni kipindi cha Kampeni...Kura za Wafanyakazi sekta binafsi ni mamilioni...
Ndugu Bashiru na Pole pole...FAO LA Kujitoa..
Nguvu ya umma itatatumika kuleta haki hata kama vyombo vya dola havitaki.Hivi kwa mtazamo wako hawa polisi kwa mambo haya wanayoyafanya utegemee kesho watende haki kwa vyama viingine?
IGP Siro wakanye polisi wako wasiingize kwenye mitego ya wanasiasa.
View attachment 1587997