Uchaguzi 2020 IGP Sirro wakanye polisi wasiingize kwenye mitego ya wanasiasa


Ccm hawawezi kurekebisha sheria ya fao la kujitoa maana wamechota hela zote kwenye hiyo mifuko kuingiza kwenye miradi. Wabunge wa ccm walipitisha hiyo sheria ili kusaka sifa za kisiasa, lakini hawakuangalia madhara kwa walengwa wa hilo fao la kujitoa, kwakuwa wao wakimaliza ubunge wanavuta chao chote.
 


Ndugu yangu wala hivyo vyeti havisaidii kama mtu hatumii common sense. Wewe fikiri nchi hii kuna watu wana PhD na hatimaye kuwa ma-Profesa. Kitendo tu cha kupewa madaraka ya kisiasa wametukana taaluma zao na kuziita za "jalalani". Inasikitisha sana. Uzingatie pia kuwa IGP tuliyenaye sasa ni mwanasheria kitaaluma.

Nadhani makosa yanayotokea yanahitaji reasoning ya kawaida na uhalisia wa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi na sio viwango vya elimu ya wahusika.
 
Kuna siku mtasema polisi asiingie kumbi za mziki zinazomilikiwa na chama cha mapinduzi.




MAGUFULI4LIFE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…