Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Je hata uonevu wa polisi wake kwenye vile vikao vya ndani?vipi kuhusu na vile vikao na makongamano ya ndani kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi vinapo zuiwa isivyo halali na baadhi ya polisi waliona maslahi yao binafsi tuna ruhusiwa pia kutoa taarifa kwake?#HABARI Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapoona jambo lisilo la kawaida ili liweze kuchukuliwa kwa uharaka zaidi kabla ya kuleta madhara kwa jamii. https://t.co/NY15VmWV4P
Ukiona porisi anadhulumu umpe ushirikianoUshirikiano upi huo wanataka?
Wakafie mbali huko...Ukiona porisi anadhulumu umpe ushirikiano
Pengine kwenye kuonea ,kunyanyasa na kubambikia.Ushirikiano upi huo wanataka?
Au kutoa taarifa kulipo na mkusanyiko wa kikundi cha chama flani....ovyo sanaPengine kwenye kuonea ,kunyanyasa na kubambikia.
Hata yale makongamano yetu yanayozuiliwa tutoe ushirikiano vipi ili yafanyikeUshirikiano upi huo wanataka?
Ushirikiano pekee wa kweli ni katiba mpya ambayo ndani yake,ipo tume huru ya uchaguzi pamoja na kufutwa kwa sheria kandamizi,pamoja na zile kinga zinazotumika vibaya kwa maslahi ya kikundi kidogo kwa maslahi yao.Hata yale makongamano yetu yanayozuiliwa tutoe ushirikiano vipi ili yafanyike