USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Hawa matapeli wa kopa faster ni hujuma au mpo nao na maisha nao?
Je, nikitengo ndani ya jeshi la polisi?
Kama sio je mnawafahamu? Mliwahi kuwasikia?
Nimeuliza kwa kuwa licha ya Watanzania kulia sana na kutapeliwa na hawa watu hakuna hatua nyie kama polisi mliwahi kuchukua au kuwakamata na kuja kuwatangaza.
Wanatumia picha za Mh Rais Samia Suluhu Hassan, makamo wa rais, DC joketi, mama Salma Kikwete, Tulia aksoni mke wa rais wa Zanzibar na baadhi ya Watanzania wenye ushawishi mkubwa hapa nchi miaka sasa nyie polisi mpo tu.
Utapeli wa kimtandao upo kila nchi na nyie mnakitengo cha kupambana na huu utapeli huu.