IGP wa Msumbiji aitwa haraka Tanzania na kuachia jeshi la police Tanzania kuingia Msumbiji kushughulikia wauwaji wa Watanzania 9

You Kenyan respect yourself. This is not a platform for battling your stupidity. Argue with logic otherwise quit here. You have to know that this is a platform for Great Thinkers. We don't want stupid people here who evrtime what they know is quarrel for nonsense.
 
Aliesemaga wakenya shuleni wanaenda tu kusoma kingereza tena cha kuunga unga kweli hakukosea [emoji23][emoji23][emoji23] akili fupi balaa
 
Huyu mtanzania hata hajui AP anaita jeshi, you smell like a tanzanian,tumekuonea 18
 
Msumbiji hailei magaidi kama somalia
 
Kwa hiyo Watanzania waendelee kuuwawa tu sio boss halafu hatufanyi chochote ?
 
Bila Shaka mtoa post utakua na ww ni polisi , Nia yako unataka kurudisha imani kwa wananchi kua jeshi letu lipo imara , ndio Mana upo kishabiki
 
Undercovers wa polisi nawakubali sana kwa 'Upele' TISS wakasome.

Baada ya siku mtarejea hapa kuthibitisha juu ya huu ukweli, hawa wajomba ni noma then kile kikosi maalumu ndio kinaenda kuwamaliza hao manyang'au.

POLICE TZ[emoji123][emoji123]
This is an ideological war kwanza tafuteni Muslim clerics wanao fanya radicalization .na wanao fund activities zao .Kumbuka wanapigana jihad kwa hivyo kifo kwao si issue.
 
This is an ideological war kwanza tafuteni Muslim clerics wanao fanya radicalization .na wanao fund activities zao .Kumbuka wanapigana jihad kwa hivyo kifo kwao si issue.
Mbona ninyi mlishindwa kuwatafuta badala yake mlijipeleka Somalia kwenda kuchinjwa?. Hawawezi ingia Tanzania, wanajua kwamba Tanzania sio Kenya, kwamba unaweza kuingia na kufanya mashambulizi Westgate na ukatoka na kuondoka.
 
Bila Shaka mtoa post utakua na ww ni polisi , Nia yako unataka kurudisha imani kwa wananchi kua jeshi letu lipo imara , ndio Mana upo kishabiki
imani kwa jeshi la polisi sio hisani kwao,unaweza acha tu kuwaamini na kazi zikaendelea kama kawaida.
 
Kazi kwisha kwao.
Teh teh watuachie kazi tufanye wenyewe.
 

Acheni tanlalila.

Taarifa za kuvamiwa na hawa magaidi mlishapewa na mlishambiwa mpaka sehemu zote watakazokuwa hawa wakuda.
 
Eti tegemeo lenu kwenye vita dhidi ya ugaidi ni huyu IGP wenu Sirro ambaye hajui tofauti kati ya picha ya cameraman na ile ya CCTV. Poleni majirani. [emoji1]
 
Except the militants in Mozambique are mostly radicalized Tanzanian muslims. Hilo ata serikali ya Mozambique wameshasema.
 
Acheni tanlalila.

Taarifa za kuvamiwa na hawa magaidi mlishapewa na mlishambiwa mpaka sehemu zote watakazokuwa hawa wakuda.
Kwahiyo taarifa ilisema watanzania walioko Msumbiji watavamiwa, sivyo?. Umepata wapi viroba?, huku vilishapigwa marufuku kitambo sana.
 
Hahahaha, Chini ya Sirro, hakuna ujambazi wala gaidi anayeichezea Tanzania, kwa Amani Tanzania ni namba 7 Africa, Kenya ni namba ngapi?, nikumbushe Tafadhali sana.
Eti tegemeo lenu kwenye vita dhidi ya ugaidi ni huyu IGP wenu Sirro ambaye hata hajui tofauti kati ya picha ya cameraman na ile ya CCTV. Poleni majirani. [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…