Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Jamaa unaongea kiswahili sWAfi sana kuliko mimi mbongo
Asili yangu mkoa wa Kati, jamii ya Wakikuyu ila mzawa wa bonde la Ufa....japo huwa najivunia Ukenya wangu na kusheherekea tofauti zetu, asili zetu na utangamano wetu kama Wakenya.