IGP wa Msumbiji aitwa haraka Tanzania na kuachia jeshi la police Tanzania kuingia Msumbiji kushughulikia wauwaji wa Watanzania 9

Undercovers wa polisi nawakubali sana kwa 'Upele' TISS wakasome.

Baada ya siku mtarejea hapa kuthibitisha juu ya huu ukweli, hawa wajomba ni noma then kile kikosi maalumu ndio kinaenda kuwamaliza hao manyang'au.

POLICE TZ[emoji123][emoji123]
Mhhhhhh
 
IGP hana uwezo kwa kum summon Raia aliyeko nchi jirani... na pia Kumbuka wale raia wetu waliuliwa kule Rwanda babaake Bashite alisemaje na wale walishikwa china kwa madawa alisema washitakiwe kwa sheria za huko yeye hausiki kwani sie aliyewapeleka
 
Please don't compare.Tanzania and Kenya are not the same. They are quite different. Do you mean we have to let them kill our fellow Tanzanians? No! No! No! and No! Tutaenda na tutarudi na roho zetu.
 
Mahaba na jeshi la polisi haya
 
Siro kashindwa kuwakamata wale amateurs waliomshambulia Lissu kwa risasi 30 bila kuua... seuze wauaji wa ukweli wa Msumbiji?
 
This is an ideological war kwanza tafuteni Muslim clerics wanao fanya radicalization .na wanao fund activities zao .Kumbuka wanapigana jihad kwa hivyo kifo kwao si issue.
There we go again with another moron!
What the heck is wrong with you Nicompoop?
Can't you breathe without mentioning ISLAM?
Or are you one of those wedlock kids never knew his papas name?

Wewe km ulipewa talaka na Muslim man ni kwa sababu ya Tabia zako za kuwa jamvi la wageni. Sasa usichukie kila Muislamu kwa ukahaba wako.
Shwain wahed.
 
Kiingereza cha kuungaunga? Umewahi andika essay shuleni?Jingatype. Hebu chukua composition ya mtoto wa class 4 Kenya na ya scholar wa UDSM ulinganishe. Aibu tupu
Huyu mumeo nafikiri alisoma hiyo class 4,cheki yai analotema kaa from Royal college
 
Ukweli upi sasa? Piga picha essay moja uiweke hapa
PaapaaapaaapapaπŸ˜‚πŸ˜‚

Is this you sweetheart? Utakufa from dehydration fighting to πŸ˜‚speak the word "didi" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

I was about to propose you but I harshly quit in a breaking news manner πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ after watching you trying to commit suicide unwillingly, kwani ukiongea kikuyu utakata roho Maria Rosa wangu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…