Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Sawa. Basi nipe orodha ya waandishi wa kitanzaniaYaani nikatafute essay nilizoandika kitambo nije nipost hapa eti kisa ya ukoloni maomboleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Basi nipe orodha ya waandishi wa kitanzaniaYaani nikatafute essay nilizoandika kitambo nije nipost hapa eti kisa ya ukoloni maomboleo
Sawa. Basi nipe orodha ya waandishi wa kitanzania
Atakuwa shabiki shupavu zaidi ya Steve wa Yanga!!Mleta thread kaongeza chumvi balaa...
And....,!?Miss kibera
MhhhhhhUndercovers wa polisi nawakubali sana kwa 'Upele' TISS wakasome.
Baada ya siku mtarejea hapa kuthibitisha juu ya huu ukweli, hawa wajomba ni noma then kile kikosi maalumu ndio kinaenda kuwamaliza hao manyang'au.
POLICE TZ[emoji123][emoji123]
And....,!?
Kibera ipo Tanzania na mlima Kilimanjaro upo Kenya. Hakuna asiyefahamu hilo.
Kubali kwa uandishi nyie ni Zer⭕. Mwandishi wa 'Rosa Mistika' ...👍Unakuanga mfunny si ukuje kejani tuone venye tutachange hiyo maneno [emoji23][emoji23][emoji23] in kenyan voice
Kubali kwa uandishi nyie ni Zer[emoji778]. Mwandishi wa 'Rosa Mistika' ...[emoji106]
Nani wanacheza leo?Nitakubali vipi kitu kisicho na ukweli wowote embu angalia mpira huko
Punguza bangi na viroba akili yako itakaa sawa.Acheni tanlalila.
Taarifa za kuvamiwa na hawa magaidi mlishapewa na mlishambiwa mpaka sehemu zote watakazokuwa hawa wakuda.
Nambie mpenzi wanguUkweli upi sasa? Piga picha essay moja uiweke hapa
Please don't compare.Tanzania and Kenya are not the same. They are quite different. Do you mean we have to let them kill our fellow Tanzanians? No! No! No! and No! Tutaenda na tutarudi na roho zetu.I'll advice your nation not to get in this trap of entering Mozambique. This is the same trap All shaabab did with Kenya, they were abducting and killing people at the boarder alafu wanakimbia Somalia which is their battling ground. The day Kenya step their foot in Somalia is the day everything changed, Remember Somalia and Mozambique are the same in terms of laws, they are both anarchy.
IGP Sirro wa Tanzania amemuita haraka IGP wa Mozambique na kufika Mtwara jana na kuzungumza kuhusu mauaji ya wakulima 9 wa kitanzania waliokua Mozambique kwa shughuli za kilimo kisha kuuawa na kundi la kigaidi
IGP Sirro ametaka ufunguzi wa mpaka kati ya Tanzania na Mozambique kijeshi, hivyo sasa Tanzania itaingiza jeshi lake la police kwenda Mozambique kuwasaka hao wahuni, jeshi shupavu la police la Tanzania tayari lilishatuma majasusi wake Mozambique undercover na hivi sasa tayari wamo Mozambique kuanza show.
Itakumbukwa hawa wauaji ndio wale waliokua kwenye mapango ya amboni kule Tanga na Kibiti huko Pwani, waliuwawa kama kuku na jeshi shupavu na hodari la police, sasa wabaki kuvizia Watanzania waishio nchini Mozambique ili kulipa kisasi, Tanzania Police Force halitawaacha salama kamwe.

Nani wanacheza leo?
There we go again with another moron!This is an ideological war kwanza tafuteni Muslim clerics wanao fanya radicalization .na wanao fund activities zao .Kumbuka wanapigana jihad kwa hivyo kifo kwao si issue.
Huyu mumeo nafikiri alisoma hiyo class 4,cheki yai analotema kaa from Royal collegeKiingereza cha kuungaunga? Umewahi andika essay shuleni?Jingatype. Hebu chukua composition ya mtoto wa class 4 Kenya na ya scholar wa UDSM ulinganishe. Aibu tupu
Paapaaapaaapapa😂😂Ukweli upi sasa? Piga picha essay moja uiweke hapa